Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

Wapi mv dar ya bil 8. Mbona walioinunua hawatumbuliwi?
 
Hahahaha..ni serikali za japan na china,maana miradi mikubwa yote ni ya kufadhiliwa

Unafikiri JK miaka 10 aliyokaa alikuwa anafanya nini kama sio kukinga bakuli na kuuza rasilimali zetu bure. Wacha walipie angalau kile kidogo walichochuma.
 
Hivi unaota ndoto au unapiga ungana???? Kuna flyover manzese, kimara nk. In short hakuna kisichowezekana ilimradi kuna will, dedicated leaders and resources.
Hizo ni fly over roads au vibarabara vya waenda kwa miguu vilivyojengwa juu ya barabara kuu?
 
Step 3 and 4 haihitajiwa hapo ambapo inajengwa. Kila design inategemea na volume of vehicles, hawajengi kwa sababu ya kuwafurahisha majirani au nchi flani wanajenga kwa sababu ya kuondoa tatizo lililopo. BTW hilo sio daraja ... are you a highway engineer?

Si umeandika nn...!!?? Achana na mawazo mgando unafikiria leo tu na kusahau kesho!!! We unadhani population imeganda aiongezeki!? We unadhani watu washamaliza kununua magari!? So unataka kunambia tuendelee kufanya cijimiradi vidogo vidogo then next time tunarudi hapo hapo na kuanza kusumbua tena wananchi na investment zao just becauss tutahitaji kuupgrade hizo steps...
My call is, tukifanya mradi tuufanye kwa mapana yake ili uendelee kuwa na manufaa hata miaka 100 mbele...
Sio leo tunajenga vijitu vidogo vidogo then kesho tunarudi hapo na kubomoa na kuanza kujenga kwa kuunga unga vijinew project
 
Chadema, Sera zenu za kupinga kila kitu watz walishazikataa, mkiendekvea hivi mtabaki wasindikizaji kila uchaguzi
 
Si umeandika nn...!!?? Achana na mawazo mgando unafikiria leo tu na kusahau kesho!!! We unadhani population imeganda aiongezeki!? We unadhani watu washamaliza kununua magari!? So unataka kunambia tuendelee kufanya cijimiradi vidogo vidogo then next time tunarudi hapo hapo na kuanza kusumbua tena wananchi na investment zao just becauss tutahitaji kuupgrade hizo steps...
My call is, tukifanya mradi tuufanye kwa mapana yake ili uendelee kuwa na manufaa hata miaka 100 mbele...
Sio leo tunajenga vijitu vidogo vidogo then kesho tunarudi hapo na kubomoa na kuanza kujenga kwa kuunga unga vijinew project

Umeangalia hiyo design na una data za kuonyesha ni ya magari mangapi yatasafiri per hour in each direction? Je unapojenga hiyo flyover unajenga tu iwe pana, au una-consider barabara ambayo itaendeleza huo mtiririko wa hayo magari? In terms of volume? Hebu niambie kuna lanes ngapi each direction ambazo wame design? Unapoongelea miaka 100 Dar itakuwa na underground trains za uhakika msongamano utatoka wapi? (I presume)

Bandari itakuwa Bagamoyo tayari. Ndio sababu nilikuuliza wewe ni Highway Engineer? Usikurupukie kazi za watu kama hufahamu uliza, hiyo picha ni kwenye forum kama unafikiri huo mradi haufai utakuwa na matatizo sugu ambayo siwezi kukusaidia.
 
Haya mtaalamu kikinuka hapo baadaye usikawie kuleta feedback...coz nyie mnajifanya hizi ndio taaluma zenu and still mnajenga majengo mbomoko ua siwaelewi kabisa pale inapotokea mmeboronga kwa porojo kama hizi hapa
 
Mkuu sio porojo huwezi kuponda tu bila kuangalia capacity ya feeder roads, kuna vitu vingine ni obvious tu mimi sifahamu parameters ya hiyo design lakini kwa kuangalia tu picha nimeona kama wame separate on each direction na ni wider than the existing road. Sasa sijaelewa kitu kimoja pale Buguruni zinapokutana wamefanya nini au pale Machinjioni unapokwenda kwa Aziz Ally na Chang'ombe maana wataathirika ki-namna kutokana na speed na wingi wa magari ambayo yatakuwa yameshapita Tazara. (unaweza kusema lakini wao walio fanya design ndio wana data zote I hope they considered those junctions).
 
kwann wasijenge flyover kutoka Msoga hadi JKN Airport??
 
Na sie mwanza tunasubiri daraja tuliloahidiwa, na mwanza kuwa geneva
 
kwann wasijenge flyover kutoka Msoga hadi JKN Airport??
Kamanda tunasubiri Chadema wakichukuwa dola watajenga flyovers mbili kubwa moja kutoka Tengeru mpaka mtaa wa Ufipa Kinondoni na ingine kutoka Moshi Mjini mpaka Kimara.
 
umuhimu wa flyover kati ya Ubungo na Tazara nadhani wameangalia vitu vingi. kimojawapo ni kwamba Ubungo inatumia magari mengi zaidi. ukianza kumarisha Ubungo kabla ya Tazara utafanya jam ya tazara kuwa kubwa zaidi ....mwenge...magomeni nazo kuzidiwa kitu ambacho kitaharibu barabara zilizopo.

Kwa mtazamo wangu usio wa kihandisi naona ni vyema walivyoanza na flyover za pembeni kabla ya ile tunayodhani ni kuu ili kupunguza mzigo wa barabara
 
Mkuu unajifurahisha au ndiyo unatumia ile ibara ya upinzani kupinga hata kama ukweli mpaka dakika ya mwisho, daraja la Kigamboni lipo katika hatua za mwisho watanzania waanze kulitumia hata wewe unayepinga humu JF utalitumia ukienda Kigamboni kwenye maandamano ya Chadema.
You made my day.... yaani sina mbavu...... Eti kwenye maandamano ya CHADEMA. Mmhhh watu mna maneno huyu hawezi kurudi na akirudi lzm awakane wenzake waliokalilishwa kua mfumo ni mbovu badala ya kuelewa kua wkt mwingine hatuhitaji saaaanaaaa mfumo ila mtu....
 
Tumeanza na tazara,kabla ya 2020, flyovers zote jijini zitakuwa zimekwisha.
Safi sana wajapani kwa kuanza kutekeleza ahadi zao... I am waiting for us to do the same, tena tukianza na wale waliokwepa kodi ambao hadi sasa hatujui nini kinaendelea pamoja na zile siku saba alizotoa Mh. Rais kupita siku nyingi mnoo
 
Back
Top Bottom