RohoKamanda tunasubiri Chadema wakichukuwa dola watajenga flyovers mbili kubwa moja kutoka Tengeru mpaka mtaa wa Ufipa Kinondoni na ingine kutoka Moshi Mjini mpaka Kimara.
Acha uongo fulahi ova tangu isemwe mpaka sasa Hakuna mkandarasi site usitulazimishe tuamini unachosema hilo swala bado kama lipo litakuwepo lakini kwa sasa bado kama una sema ukweli tuma picha mkandarasi yupo siteNjia yako ya kwenda wapi? Kwani wewe unachopinga nini kuwa ni uhongo hawajengi flyover?
Hakuna kitu bango watu wanadanganywa hapaMkuu nimepita Leo taza kuanzia polisi mpaka huku mbele bugurun sjaona hilo Bango la projection cjui limebandikwa wapi la kuruhusu huo ujenzi uanze Mara moja baada ya miaka rukuki kuwa kabatini
Njia yako ya kwenda wapi? Kwani wewe unachopinga nini kuwa ni uhongo hawajengi flyover?
Hivi kwanini unapenda kuweka maandish mekundu???Umeangalia hiyo design na una data za kuonyesha ni ya magari mangapi yatasafiri per hour in each direction? Je unapojenga hiyo flyover unajenga tu iwe pana, au una-consider barabara ambayo itaendeleza huo mtiririko wa hayo magari? In terms of volume? Hebu niambie kuna lanes ngapi each direction ambazo wame design? Unapoongelea miaka 100 Dar itakuwa na underground trains za uhakika msongamano utatoka wapi? (I presume)
Bandari itakuwa Bagamoyo tayari. Ndio sababu nilikuuliza wewe ni Highway Engineer? Usikurupukie kazi za watu kama hufahamu uliza, hiyo picha ni kwenye forum kama unafikiri huo mradi haufai utakuwa na matatizo sugu ambayo siwezi kukusaidia.
Kamanda kwa faida ya JF tutoe tongotongo ili iitwe flyovers inatakiwa ianzie umbali gani?
Hivi kwanini unapenda kuweka maandish mekundu???
Rangi zipo nyingi iweje uchague nyekundu kuandikia? Lol, utakuwa unatoa watu kafara si bure,Nataka nikuumize macho, wewe unasemaje? Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Heee! Pale TAZARA mnajenga 'flyover' kama ya Manzese?Hivi unaota ndoto au unapiga ungana???? Kuna flyover manzese, kimara nk. In short hakuna kisichowezekana ilimradi kuna will, dedicated leaders and resources.
Rangi zipo nyingi iweje uchague nyekundu kuandikia? Lol, utakuwa unatoa watu kafara si bure,
Zote zinaitwa flyovers moja ya watembea kwa miguu nyingine magariHeee! Pale TAZARA mnajenga 'flyover' kama ya Manzese?
Swainglish hahaaaaHizo ni fly over roads au vibarabara vya waenda kwa miguu vilivyojengwa juu ya barabara kuu?
Kwa kweli ulimbukeni ni mzigo mzito sana.Naitazama hii flyover yenu then nacheka sana...maana ni kastep kamoja tu, kimsingi daraja fulani Amazing katainuliwa na kudondoshwa mahala fulani then watu mnato macho kweli oh Flyover flaiovaaaa! Je zingekuwa step 3 or 4 ?!
Kaaaaazi kweli, Bora hata hiyo hapo kuliko nyekunduKipendacho roho ndio dawa ... .... .Ding ...Dong.
Bango lipo bwana angalia vizuri ukiwa unaenda tazara karibia na kituoni hapo pepesa macho hayoHakuna kitu bango watu wanadanganywa hapa
Chadema mila kitu wanapinga mpaka sasa wameshaanza kipinga lowassa hakugombea 2015Chadema, Sera zenu za kupinga kila kitu watz walishazikataa, mkiendekvea hivi mtabaki wasindikizaji kila uchaguzi
Ukiwa unaenda tazara bango lipo Julia kwako angalia vizuri usiwe unalala lala ukiwa njiani.Mkuu nimepita Leo taza kuanzia polisi mpaka huku mbele bugurun sjaona hilo Bango la projection cjui limebandikwa wapi la kuruhusu huo ujenzi uanze Mara moja baada ya miaka rukuki kuwa kabatini