Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,845
4,074
Tumeanza na tazara,kabla ya 2020, flyovers zote jijini zitakuwa zimekwisha.
 
Attachments

  • IMG-20160103-WA0014.jpg
    IMG-20160103-WA0014.jpg
    118.8 KB · Views: 75
mradi wa dart tu miaka inakatika, kila siku wanafumua ndo iwe flyover, sio kwa muda huo
 
Napita..... Huenda wengi hatujui barabara za flyovers na zinapita juu kwa umbali gani
 
Napita..... Huenda wengi hatujui barabara za flyovers na zinapita juu kwa umbali gani
Kamanda kwa faida ya JF tutoe tongotongo ili iitwe flyovers inatakiwa ianzie umbali gani?
 
Kamanda kwa faida ya JF tutoe tongotongo ili iitwe flyovers inatakiwa ianzie umbali gani?
Mkuu kama pale TAZARA patajengwa flyover, basi kiwanda cha Bakhresa upande mmoja na Azam TV upande mwingine pamoja na hospitali ya Dar Group vyote havitakiwi kuwepo
 
Tumeanza na tazara,kabla ya 2020, flyovers zote jijini zitakuwa zimekwisha.
Hivi katika Jiji la DSM upande gani ndio kuna msongamano wa magari megi au upande gani ndio Magari mengi huingia katikati ya mji na yanayoyokea mikoani? Huenda eneo hilo ndio lingepewa kipau mbele kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Back
Top Bottom