Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

Naitazama hii flyover yenu then nacheka sana...maana ni kastep kamoja tu, kimsingi daraja fulani Amazing katainuliwa na kudondoshwa mahala fulani then watu mnato macho kweli oh Flyover flaiovaaaa! Je zingekuwa step 3 or 4 ?!
 
Daraja la kigamboni mpaka sasa ni maigizo elimu bure viwada teh teh teh
Mkuu unajifurahisha au ndiyo unatumia ile ibara ya upinzani kupinga hata kama ukweli mpaka dakika ya mwisho, daraja la Kigamboni lipo katika hatua za mwisho watanzania waanze kulitumia hata wewe unayepinga humu JF utalitumia ukienda Kigamboni kwenye maandamano ya Chadema.
 
Kamanda unaishi wapi Mwika au Longido? Ujenzi wa Flyovers tayari umeishaanza.
Ni kweli ujenzi wa flyover umeanza kwa sababu tumeoneshwa ramani; yaani ni sawa na kununua ramani ya nyumba pale posta kisha ukajisifu kuwa umeanza ujenzi..... mbunyu....
 
Ukiishi kwa kupinga kila kitu ipo siku utajikuta unapinga hata unapoishi kuwa siyo kwako. Hivi kuwa opposition lengo ni kutaka maendeleo au kupinga maendeleo yanayofanywa na serikali iliyoko madarakani? Je kuna ubaya gani serikali iliyoko madarakani kutekereza ahadi zake ilizozitoa kwa wanachi? Kama watu waliopo opposition wanatamani ahadi za serikali iliyopo madarakani zisifanikiwe nadhani hapo hawatambui nini maana ya kuwa opposition side.Kwa Rais wa sasa hakuna namna ahadi zote alizotoa atazitekereza bila shida yoyote,kwa mfano ahadi ya elimu bure tayari besa imetengwa ya mwaka mzima, mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetoka kwa kiwango cha juu mpaka sasa na january hii pesa nyingine inapelekwa. kupunguza foleni dar tayari ujenzi unaendelea katika maeneo tofauti mfano mwenge-moroko. Sasa tunachohitaji wanachi si ni maendeleo ? kwa nini watu wengine humu mnajaa jaziba pale serikali inapotekeleza ahadi zake? KUWA OPPOSITION SIYO KUPINGA KILA KITU JENGA HOJA ZA KULETA MAENDELEO SIYO KULALAMIKA.
 
Naitazama hii flyover yenu then nacheka sana...maana ni kastep kamoja tu, kimsingi daraja fulani Amazing katainuliwa na kudondoshwa mahala fulani then watu mnato macho kweli oh Flyover flaiovaaaa! Je zingekuwa step 3 or 4 ?!
Hiyo ni flyover ya kwanza Tanzania, unataka iwe na mbwembwe nyingi za kazi gani?, Ridhika na kidogo ulichonacho usitake kuwa na kikubwa usicho na uwezo nacho. Be thankful sio unakosoa kila kitu, Roma haikujengwa ndani ya siku moja.
 
Mkuu kama pale TAZARA patajengwa flyover, basi kiwanda cha Bakhresa upande mmoja na Azam TV upande mwingine pamoja na hospitali ya Dar Group vyote havitakiwi kuwepo
kuna picha mkuu...jaribu kuiangalia kwa makini...
 
Mkuu unajifurahisha au ndiyo unatumia ile ibara ya upinzani kupinga hata kama ukweli mpaka dakika ya mwisho, daraja la Kigamboni lipo katika hatua za mwisho watanzania waanze kulitumia hata wewe unayepinga humu JF utalitumia ukienda Kigamboni kwenye maandamano ya Chadema.
Tukiondoa ushabiki wa ccm na ukawa utajua kuwa daraja la kigambon ilibidi likamilike june 2015 na hiyo ni baada ya kuongezewa muda na sasa ni 2016 bado tunaambiwa lipo kwenye hatua za mwisho. Kitu kibaya mlichoki observe ni kwamba siku izi kwenye vile vibao vinavyoonesha project ile part ya DURATION imeondolewa so kwa Tz mradi hata ukichukua 10yrs ni sawa tu coz no timeframe na hii inawezekana ipo kwenye LDCs pekee coz time kwetu is like nothing bt to others probably the most valuable asset
 
Hivi katika Jiji la DSM upande gani ndio kuna msongamano wa magari megi au upande gani ndio Magari mengi huingia katikati ya mji na yanayoyokea mikoani? Huenda eneo hilo ndio lingepewa kipau mbele kwanza.

kabla mradi haujafanyika hua wanafanya feasibility study kuona uhitaji hasa ukoje. hata barabara kabla haijajengwa wanafanya paka traffic count kuona magari mangapi yanapita kwa siku, kwa peak hours, kwa regular hours, magari ya aina gani malori, mabasi, private... Nk. paka interview ikibidi.
usihisi wamekurupuka kuweka flyover tazara.
 
img-20160103-wa0014-jpg.314565

Kwa wale wenzangu na mimi. Ukiona mabango hivi basi mkandarasi ndio amepewa vitu vyote na kazi inaanza.
 
Tukiondoa ushabiki wa ccm na ukawa utajua kuwa daraja la kigambon ilibidi likamilike june 2015 na hiyo ni baada ya kuongezewa muda na sasa ni 2016 bado tunaambiwa lipo kwenye hatua za mwisho. Kitu kibaya mlichoki observe ni kwamba siku izi kwenye vile vibao vinavyoonesha project ile part ya DURATION imeondolewa so kwa Tz mradi hata ukichukua 10yrs ni sawa tu coz no timeframe na hii inawezekana ipo kwenye LDCs pekee coz time kwetu is like nothing bt to others probably the most valuable asset

kwa statistics za shirika moja la ujenzi Uk by 2011, 70% ya goverment projects zimekua na construction delays. hata leo 2015 bado wako nyuma. ndo iwe Tanzania. miradi yetu mingi tegemezi.. kuisha kwa wakati sio rahisi.
 
Naitazama hii flyover yenu then nacheka sana...maana ni kastep kamoja tu, kimsingi daraja fulani Amazing katainuliwa na kudondoshwa mahala fulani then watu mnato macho kweli oh Flyover flaiovaaaa! Je zingekuwa step 3 or 4 ?!

Step 3 and 4 haihitajiwa hapo ambapo inajengwa. Kila design inategemea na volume of vehicles, hawajengi kwa sababu ya kuwafurahisha majirani au nchi flani wanajenga kwa sababu ya kuondoa tatizo lililopo. BTW hilo sio daraja ... are you a highway engineer?
 
kwa statistics za shirika moja la ujenzi Uk by 2011, 70% ya goverment projects zimekua na construction delays. hata leo 2015 bado wako nyuma. ndo iwe Tanzania. miradi yetu mingi tegemezi.. kuisha kwa wakati sio rahisi.
Asante. So what we need is to be patient. Inawezekana tunaexpectations kubwa juu ya mambo tunayopenda kutendewa wakati kasi ya utendaji ni ndogo. Ila nijibu kwann sehemu ya DURATION imeondolewa ktk most of the gvt projects
 
Back
Top Bottom