Hatimae uhamiaji yametimia

Hatimae uhamiaji yametimia

niangalizie stephan kombo na sophia wanyancha,nafas ya konstebo.
 
ngoja nikupe ujinga angalia majina yalitoka kwa constebo hapo gazetini ni mangapi kisha gawanya kwa idadi inayotakiwa na uhamiaji yaani 100 then utapata jibu je kila nafasi moja inagombewa na applicant wangapi
 
Niko na kagazeti hapa naangalia angalia.
Mie kwa kweli simu ila nimeshangaa na kumpa hongera kuna mdada tulikuwa naye chuo yeye akichukua shahada ya elimu mie social science kaitwa nafasi ya koplo wa uhamiaji halafu tena kapata nafasi ya ualimu yupo huko TUKUYU anafundisha.
Ama kweli kila mtu na bahati yake jamani.
kaka naomba nichekie jina la mzee sudi nafasi ya constebo.
 
kweli wametia aibu , haiwezekani wizara moja haina database kwa sababu eti mtu kaitwa zimamoto kama na wakati huohuo kaitwa uhamiaji kama konstable. je muda woote waliokuwa wanapoteza walishindwa kuchambua?

ni hayo tu
ni kweli pia
 
vipi jamani majina ya mkaguzi mzaidizi wa uhamiaji hawajatoa?
 
Back
Top Bottom