Hatimae uhamiaji yametimia

Hatimae uhamiaji yametimia

utakuwa hujasoma Gazeti la Mwananchi la jana. Majina ni mengi sana ila walioitwa ni koplo na konstebo. kulalamika kuhusu kutoa na wakaguzi elewa kwamba mmoja maombi alituma kwa Kamishna na mwingine kwa Katibu wa wizara.

Naungana na wewe kuwa wamechelewa kuweka majina Kwenye website ila sasa hivi yapo.
 
aOK, mimi nasubiri mwajiri wangu katibu mkuu sijui tatizo nini maana hata web yake leo haifunguki
 
Jamani naombeni msaada wenu mwenye gazeti la mwananchi la jana aniangalizie jina DEOGRASIA MBILINYI nafasi ya konstebo,
 
Habari wana JF,

Majina haya hapa walioitwa kwenye usaili wa konstebo na koplo wa uhamiaji.

Hongereni nawatakia kila la kheri
 
Attachments

Mkaguz msaidiz itakuwa kilio tu kwa jinsi ninavyoyaona hapa uzun

jipe moyo, alafu ufanye mazoezi makali kuliko mechi. tukibahatika kuitwa naamini maswali yao yatakuwa ya kiutuuzima kweli ivyo hata kama bado awajatoa piga mazoezi makali kuliko mechi.

poa mwana tutakutana ukumbini sijui diamond jubilee au kurasini au ukonga
 
inafunguka

ila inspector una zari sana hadi humu ndani watu tunadhani mwana wa kigogo kumbe mkulima wa mawese tu huko mbeya, bro hongera sana sina kinyongo na wewe hata kidogo ila nakupa fagi tu:israel:
 
Jamani naombeni msaada wenu mwenye gazeti la mwananchi la jana aniangalizie jina DEOGRASIA MBILINYI nafasi ya konstebo,

kama mpo pia mutangaze basi, na hata kama umekosa pia tuambie tu tushauriane ujinga kama kawaida yetu. wengi waliokosa hawajaweka leaving certificate na cheti cha la saba, kama wanabisha waje hapa wabishe
 
acha kutisha watu mi nimeitwa na sijaweka leaving certificate ya form four na six mana hawakuhtaji... labda hko cha la saba mana ndicho walichokitaka
 
ahsante mungu baba !!! tunasubiri hiyo sasa interview maana ratio ni nafasi moja ibagombewa na watu tano !! dah mungu we uliye juu sikia kilio changu mimi mja wako
 
jipe moyo, alafu ufanye mazoezi makali kuliko mechi. tukibahatika kuitwa naamini maswali yao yatakuwa ya kiutuuzima kweli ivyo hata kama bado awajatoa piga mazoezi makali kuliko mechi.

poa mwana tutakutana ukumbini sijui diamond jubilee au kurasini au ukonga

Asee mazoezi ya viungo au mazoezi gani
 
Back
Top Bottom