Hatimae uhamiaji yametimia

Hatimae uhamiaji yametimia

wamejitaidi ila kwa masajenti itabidi msubiri,hapa ni koplo na constebo tu.
 
Mpe elimu nduguyo, baba yako, mama yako, wote ambao mnajua kuwa wanakusikiliza..
waambie kwamba baba, au mama, au ndugu yangu cpati ajira kwasababu ya CCM....
Naamanisha nn..?
Ndugu zangu hutapata ajira kama hakuna mtu unayemjua kwa hii system ambayo hawa jamaa wamejiwekea..
Sasa kama hata ridhione mlimpa kura za kishindo na hao hao bungeni wakawa wanawakejeli walio wachache kuwa nyie wenyewe ndio mnatuchagua sasa tufanye nn...INAMAANA HAMJATUCHOKA.
Wasomi, watanzania kama unaajira jua kuwa kuna nduguzo kibao hapa nchini ambao hawana kazi.
Tuungane pamoja kupigania hili, tusiwaachie tu hawa wanaotafuta kwani hata wewe kuna mdogo wako au mtoto wa mjomba wako hana hili wala lile hapa tanzania...
TUWENI SERIOUS KWA UCHAGUZI, WATANZANIA
 
hivi waliopata wanaenda moja kwa moja depo au usaili kwanza?
 
Maisha siyo uhamiaji tu kujiandaa kisakolojia ni jambo muhimu sana,mungu pekee ndo anajua hatima yetu
 
kamajinalako lipo usaili utanza tarehe9 had 26 kulingana na siku/tareh uliyo pangiwa
 
Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.
aise mkuu cheki mkaguzi msaidizi kama wametoa majina.
 
aise mkuu cheki mkaguzi msaidizi kama wametoa majina.

hiyo nafasi bado hawajaitwa, na itaitwa na katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani. Nafasi ya walioitwa ni za kamishna mkuu wa uhamiaji yaani konstebo na koplo.
 
Back
Top Bottom