Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Kamishna mkuu wa idara ya uhamiaji anatangaza kuitwa kwenye usaili kwa nafasi za konstebo na koplo wa uhamiaji. Usaili utafanyika kuanzia tarehe 09/06/2014 Hadi tarehe 26/06/ 2014 kuanzia asubuhi saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa baraza la maaskofu TEC Kurasini, barabara ya Nelson Mandela wote walioitwa watatakiwa kufika katika tarehe walizopangiwa
Waombaji wanatakiwa kuja na:
1. Vyeti halisi vya kuzaliwa(birth certificate)
Waombaji wanatakiwa kuja na:
1. Vyeti halisi vya kuzaliwa(birth certificate)