Hatimae uhamiaji yametimia

Hatimae uhamiaji yametimia

Huu si upuuzi huu, hawa jamaa kwenye usail wa watu 62 wanaopita ni watu 8 tu., kazi ndo inaanza.. Kwl hapa hatari kazeni moyo mtakwenda mbl
 
Ukiona mtu katoka zimamoto na uhamiaji ujue huyo ni mtoto wa mkubwa coz atafaulu tena usaili na atachaguliwa pa kwenda, sometimes waweza kuta akaajiriwa zimamoto na uhamiaji na akawa analipwa mishahara miwili bila shida yoyote. Waweza jiuliza
KWA NINI BABA AU MAMANGU HAKUWA MTU MKUBWA SERIKARINI a.k.a KIGOGO?? But haitasaidia zaidi ya kumwomba Mungu azidi kukupa afya njema. AMINI IPO SIKU MAMBO YATABADILIKA NA HAO AMBAO LEO WANATEMEA WENZAO MATE TOKA MAGHOROFANI NDIO WATAKAOKUWA WAKIKOJOLEWA NA KUTUPIWA MAVI.
 
Ukiona mtu katoka zimamoto na uhamiaji ujue huyo ni mtoto wa mkubwa coz atafaulu tena usaili na atachaguliwa pa kwenda, sometimes waweza kuta akaajiriwa zimamoto na uhamiaji na akawa analipwa mishahara miwili bila shida yoyote. Waweza jiuliza
KWA NINI BABA AU MAMANGU HAKUWA MTU MKUBWA SERIKARINI a.k.a KIGOGO?? But haitasaidia zaidi ya kumwomba Mungu azidi kukupa afya njema. AMINI IPO SIKU MAMBO YATABADILIKA NA HAO AMBAO LEO WANATEMEA WENZAO MATE TOKA MAGHOROFANI NDIO WATAKAOKUWA WAKIKOJOLEWA NA KUTUPIWA MAVI.

kuna mdau alikua na mashaka na thomas emanuel alivyopita wakaguzi wasaidizi zimamoto sasa na huku yupo kweli huku ni kujuana
 
Vijana tusikate tamaa,
Kura yako na nduguzo ndio ukombozi kwa tanzania...
Tumechoshwa na hii aibu ya hawa jamaaa kuendelea kupeana ajira!
Stand up never vote for ccm next year, ndio suluhisho ya haya mambo.
Tusipobadilika tutaendelea kulia sana.

Mh, hata msipowapivia kura watapita tuuuu, kama kila kitu kipo chini yao ni majanga tuuu
 
Nasikia kuna awamu tatu za majina ya usaili, hvy kwa wale ambao hawajaweza kuyaona majina yao ktk awamu hii ya kwanza ngoja awamu ya pili na ya tatu, Mungu ni mwema kwetu atatusaidia kupata.
 
Acheni kudanganya watu na Habari za uongo ,tujifunze kutumia JF kwa faida zaidi kuliko vinginevyo
 
Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.

hayo ya mkaguz msaidiz bado hayajakamilika? duuuuuhhh
 
kuna wa2 wanabahati ile mbayA kuna jamaa jna lake limetoka zimamoto na uhamiaji limetoka bt m2 mwenyewE tayar amexhapatA post za ualimu
 
Hallow Watanzania wenzangu,

Naombeni msaada wenu kufahamu ukweli kuhusu walioitwa kwenye usaili wa idara ya uhamiaji kwa nafasi za konstebo na koplo wa uhamiaji. Sijui kama majina yale ni ya kweli.

Kwanza napenda tu nieleze wasiwasi wangu kuhusu yale majina, baada ya kuyaona kwenye blogs flani (ajira zetu), nilienda moja kwa moja kwenye website yao (Welcome to the Official Website of Immigration Services Department of Tanzania) kuangalia kama yatakuwepo pale sababu ndio sehemu husika lakini kwa kweli sikuyaona.

La pili majina yale yametolewa kwenye format ya pictures ambapo ni vigumu sana kutafuta jina lako, kila nikijaribu kutafuta kwenye format nyingine nimeshindwa kwa kweli so najiuliza wizara ilishindwa kutype majina mpaka wascan tu kama sio ubabaishaji tu?

Pia kitu kingine idara ya uhamiaji ilitoa nafasi nyingi sana, mkaguzi msaidizi wa uhamiaji (nafasi 70)) na koplo wa uhamiaji (nafasi 100) ila ukiangalia tatizo la ajira liliopo hapa Tanzania ni kubwa sana cha kushangaza majina yaliotolewa ni machache sana ukilinganisha na hizo nafasi zao.

Pia kwanini hawajaita watu kwenye interview yao? sisi tutajuaje kama wamewachagua watu bila kufuata utaratibu, kanuni na sheria za ajira,kwanini mambo yanaenda kimya kimya tu?

Kwa kweli tukiendelea hivi inatukatisha tamaa sana, Inauma sana, najua sio watu wote wanaoathirika na haya madudu sababu wengine wana watu wao huko serikalini. Ila mungu anajua tu, mtatawala hapa duniani lakini sio peponi, tutakutana siku ya mwisho.
 
Back
Top Bottom