Hatimae uhamiaji yametimia

Hatimae uhamiaji yametimia

Hiyo ni kesi ngumu kidogo. Kifupi unapoenda jeshini, mwili unakuwa ni wa jeshi na ndio maana huwezi kwenda
kulala wakati wa chakula kisa hujisikii kula au unasikia usingizi. Wao ndio wenye mwili wao. Wanaupa kazi na wanaulisha.
Sasa usaili ni kama shopping ya jeshi katika kutafuta vijana wao. Kwa hiyo mwisho wa siku wao ndio wataangalia kama
hilo kovu lina impact gani kwa mtu kuwa mwanajeshi, mfano kama una kovu la risasi au panga inakuwa ni mjadala
mzito.

ok shukran mkuu
 
Afya ikiwa njema, mwili usio na ulemavu dhahiri, vyeti viko sawia na halali, hamna ushoga, uwezo wa kujieleza
(kama ni kidato cha nne na kuendelea kujieleza historia yako kwa ufupi kwa maneno na maadishi kwa lugha ya kiingereza), hiyo inatosha kupambana.

asante sana mkuu
 
je kama wote wamekidhi vigezo njia gan nyingne ya kuwapunguza ili wafikie lengo

Ndio maana nikasema ukikamilisha vigezo vyote utakuwa tayari kupambana. Kumbuka nao wana watu wao. Mwisho wa siku ni wao kuamua. Ila wewe unatakiwa kuwa sawa kote ili usiwape sababu. Kumbuka watu wanahonga kupata hizo fursa.
 
Mungu saidia mana huu usaili haueleweki utakuwaje,mana watu ni wengi na nafasi ni chache
 
kaka katika watu wewe nakupa tano, ila kwangu mimi tatizo ili guu langu sijui kama lina uvungu au la. sasa nisaidie nitawezaje kujipima kama mguu una uvungu au hapana. na je kwa sehemu kama ccp unyayo kupimwa unaweza kukurudisha nyumbanikwa kukosa uvungu tu wakati qualities zote unazo.

JE, pia unaposema mzigo ustuke unamaanisha mzigo upi? kipenyo au dushelele. tunaomba ujuzi wako tafadhali

ukitaka kujua una uvungu wa mguu mwaga maj katik tope kanyag alaf toa mguu..ukionekan wote huna uvungu na kam ukioneka nusu yaan sehem ya kat kwa ndan isipoonekan inamaan una uvung.. Ukikosa uvungu huwezi kupita ingawa wapo wanaofany udanganyif ila ni hatar sana maana unawez kuoza miguu na utaumia san ktk pared.kam huna uvung ina maana huna qualities zote bro.
Hata ivyo kuusu nguv za kiume ni uume ucheze unapokohoa...pia hakikisha hujawah fanyiw operation yoyote wala kuchor tatoo ..Hapo vip?
 
Vipi kuhusu mtu mwenye makovu kwenye mwili hasa hasa yale makovu makubwa makubwa yanayovimba ka jipu?!

makovu hayatakiw utajisababishia matatiz ...kaka usilete masiala na depo bro..kule waalim wanasain kuw wamepokea watu wazim kiafya na wanakidhi vigez so ukifa mazoezin wao hawausik na hawan hurum.
Kam una makov tafut job ingine kaka nchi inalingwa kwa jesh imara
 
Kama unataka kupima uvungu :

Chovya kitambaa chochote kwenye maji. Kitandike kwenye sakafu halafu kanyaga hicho kitambaa ukiwa umesimama halafu toka ukanyage mahali pakavu. Tazama foot-print ya unyayo wako baada ya kutoa mguu hapo mahala pakavu ulipo kanyaga. Hivyo ndivyo wanavyo pima. Siku hizi unyayo sio ishu sana labda kama unaenda kwenye Jeshi la Wakurya Tanzania.

mjomba husipotoshe..uvungu ni muhim tena sana..kule huvai sendo ujue...na ukipitishw kwa kubebw na uvung huna shuhur yake utaiyon hakuna atakaejal kua unaumw miguu maan wanaamin ulipimwa vyote
 
mjomba husipotoshe..uvungu ni muhim tena sana..kule huvai sendo ujue...na ukipitishw kwa kubebw na uvung huna shuhur yake utaiyon hakuna atakaejal kua unaumw miguu maan wanaamin ulipimwa vyote

Kwa taarifa yako wengi ''wanabebwa'' na wanamaliza kozi. Halafu unasema kule hawavai sendo huku hauna uhakika kama nilisha pita au niko huko!
 
Back
Top Bottom