Ngoja nicheck ntakujulisha.
Wameweka majina ya makonstebo na koplo tuuu
asante mkuu kama ni ya kweli ngoja nikanunue gazeti sasa hiviHatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.
pitia gazeti la leo la mwananchi kwa majina ya walioitwa for interview
wengine hatuna uwezo wa kununa hat gazet...wenye uwezo mtuekee hayo majina!!!!