Sir Future
Member
- Dec 30, 2013
- 9
- 0
Majina yaliyotoka ndo moja kwa moja depo au kunamchujo tena wa enterview? naomba mnijuze kwa wanaojua.
Aibu ipi tena mkuu
Majina yaliyotoka ndo moja kwa moja depo au kunamchujo tena wa enterview? naomba mnijuze kwa wanaojua.
angalia majina ya walioitwa, yana uhusiano na wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya ndani, na baadhi wa mawaziri na wabunge...Angalia kwa makini then utaniambia....Aibu ipi tena mkuu
majine mengi ya walioitwa yana ubini na wafanyakazi na mabosi wa Wizara ya Mambo ya Ndani...aibu kvp mkuu
angalia majina ya walioitwa, yana uhusiano na wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya ndani, na baadhi wa mawaziri na wabunge...Angalia kwa makini then utaniambia....
majine mengi ya walioitwa yana ubini na wafanyakazi na mabosi wa Wizara ya Mambo ya Ndani...
Baada ya kimya kirefu hatimae uhamiaji wametoa majina kwa koplo na makonstebo kwa maelezo mazuri nunua gazeti la mwananchi
inauma sana,,mtoto wa masikini nakosa wa kunisaidia,,,,,hakiyamungu mwakani wakirud ccm mi naingia msituni,,,
When WE WARE DISCUSSING ABOUT ZIMAMOTO, niliwambia subirini uhamiaji mwone mambo yatakavyokuwa taiti but watu walinidhihaki na kunishambulia ati nina conflict of interest. Hayo majina ni mwanzo wa kelele, kilio kamili chaja yatakapotoka yale ya MAGRADUATES.
Si mlijidai hampigi kura 2010, hiyo ndo adhabu yenu plus machungu ya bajeti yajayo.
Kwa herini