Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Sio shida kwan ww usalama wa utaifa..[/QUOTE
usalama wa taifa ndio nini? siri za ikulu zimevuja we bado mpaka leo hii unakiwewe na tssi. umeingia Tanganyika lini?
Pole kumjua mtu ni shida kwani hata mm nitakwambia jina langu je litakusaidia nini.. kumjua mtu hamna tatizo..
Ful amani kwake,niangalizie stephan kombo na sophia wanyancha.
Jama ni naomba mniangalizie Zablon Isaya Mangare, niko kijijini!!!!!
haupo Mkuu
Sorry mkuu naomba unisaidie kuangalia majina yafuatayo then unijuze! 1. ALLY KALEMBELI JUMA. 2.MTEULE SIMON PETRO.
Mkuu kayoka naomba unitazimie kina 1. NSAJO HAMIS MOURICE, pamoja na rashid mwika..
Mwenye gazeti naomba aniangalizie jina la PASTORY HEMBO Costebo
kaka naomba nichekie jina la mzee sudi nafasi ya constebo.
Ndugu yangu agnes rwegasira konstable
Mapembelo..
Jamani naombeni msaada wenu mwenye gazeti la mwananchi la jana aniangalizie jina DEOGRASIA MBILINYI nafasi ya konstebo,
Unafanya kazi nzuri safi sana mkuu..
Naomba unchekie emmanuel linus na brighton maona
yaan acha tu..watu tunama dvsin 2 na vyet vingne lkn tumechinjiw bahain..leo tumekutan kule ili kuuliz kulikon lakn majib zero tu.. Sas izo za wakaguz ten ni 70 cdhan kam kun aliyesom shul ya KIDUMU NA FAGIO atapat
kuna mtu hap alisem maneno flan watu wakamponda san..ila ukwel uko pale pele tafut ajira ukiw na kazi vinginev tunasaf kisaikolojia..
Vibarua vip ila ajir ndo ngum so tufany vibarua hat kwa wahind ili kujeng uzoef kwanz
yaan acha tu..watu tunama dvsin 2 na vyet vingne lkn tumechinjiw bahain..leo tumekutan kule ili kuuliz kulikon lakn majib zero tu.. Sas izo za wakaguz ten ni 70 cdhan kam kun aliyesom shul ya kidum na fagio atapat
kuna mtu hap alisem maneno flan watu wakamponda san..ila ukwel uko pale pele tafut ajira ukiw na kazi vinginev tunasaf kisaikolojia..
Vibarua vip ila ajir ndo ngum so tufany vibarua hat kwa wahind ili kujeng uzoef kwanz