Hatimae uhamiaji yametimia

Hatimae uhamiaji yametimia

Siwezi kuweka majina yote jamvini kulingana na kifaa ninachotumia. Vinginevyo tuma private message taja jina lako, likiwepo ntakujulisha ingawa naweza chelewa kukujulisha coz kuna nalitumikia taifa kwa sasa.

mkuu naomba uniangalizie bernard jonas
 
Naombeni link ya majina.natafuta jina language km lipo
 
Tetesi, eti inasemekana wakaguzi wasaidizi watapewa vipaumbele waliopitia JKT, JE kuna mwenye nyepesi kama hizi?
 
Back
Top Bottom