Hatimae uhamiaji yametimia

honger kwa wote walioitw na wakaoitw baad ya baadh kushndw. Kabla ya kusailiwa ni vema ukajisaili mwenyew ktk mamb yafuataya..
1.kuangalia kam mguu wako una UVUNGU nyayon.
2.kupima kipim kikuu, yaan H.I.V,TB,BP,KISUKAR,PUMU,FIGO nk. Kam una ugonjw wowot ni hatar kwa maish yak ucdanganye.
3.Kuhakikisha kam una nguv za kiume za kutosha. Rahisi tu, we vua nguo inama(bong'oa) alaf kohoa, inatakiw ukikohoa MZIGO USHTUKE.
4.Matege, matege ya kupind kwa nje na ukitembea magot yanakaribia kukutan, hayatakiw 7bu ni hatar kwa usalam wako.
5.kujua nchi znazopakan na tz kwa DIRA.
6.kujiamini unapojib maswal.
7.kumtizam uson anayekusail,husipepese macho watokuon unatoa taarif za uongo.
8. Kukata kucha,Kunyoa ndev,nyewe sehem za siri na kichwan.
9. Utulivu, epuka kuweka mikon mifukon na kutingisha miguu wakat wa mahojiano.
10.TAMBUA WIMBO WA TAIFA KWA UFASAHA.

Tafadhar zingatie mlioitwa jambo dogo linawez kukunyima kazi, kala her .Ahsanten sana

daaahhh nomaaa
 
kaka cjapit JKT ila utaratib wa majesh unaelewek kwan hat izo nafas zimeanz kutangazw JKT znazobak ndo wanalet uraian..wa JKT ana 75% ya kupata nafas. Pia huy wa jkt anafany nin mtaan kwanz!
 
honger kwa wote walioitw na wakaoitw baad ya baadh kushndw. Kabla ya kusailiwa ni vema ukajisaili mwenyew ktk mamb yafuataya..
1.kuangalia kam mguu wako una UVUNGU nyayon.
2.kupima kipim kikuu, yaan H.I.V,TB,BP,KISUKAR,PUMU,FIGO nk. Kam una ugonjw wowot ni hatar kwa maish yak ucdanganye.
3.Kuhakikisha kam una nguv za kiume za kutosha. Rahisi tu, we vua nguo inama(bong'oa) alaf kohoa, inatakiw ukikohoa MZIGO USHTUKE.
4.Matege, matege ya kupind kwa nje na ukitembea magot yanakaribia kukutan, hayatakiw 7bu ni hatar kwa usalam wako.
5.kujua nchi znazopakan na tz kwa DIRA.
6.kujiamini unapojib maswal.
7.kumtizam uson anayekusail,husipepese macho watokuon unatoa taarif za uongo.
8. Kukata kucha,Kunyoa ndev,nyewe sehem za siri na kichwan.
9. Utulivu, epuka kuweka mikon mifukon na kutingisha miguu wakat wa mahojiano.
10.TAMBUA WIMBO WA TAIFA KWA UFASAHA.

Tafadhar zingatie mlioitwa jambo dogo linawez kukunyima kazi, kala her .Ahsanten sana

kaka katika watu wewe nakupa tano, ila kwangu mimi tatizo ili guu langu sijui kama lina uvungu au la. sasa nisaidie nitawezaje kujipima kama mguu una uvungu au hapana. na je kwa sehemu kama ccp unyayo kupimwa unaweza kukurudisha nyumbanikwa kukosa uvungu tu wakati qualities zote unazo.

JE, pia unaposema mzigo ustuke unamaanisha mzigo upi? kipenyo au dushelele. tunaomba ujuzi wako tafadhali
 
msaada tafadhali mwenye hili gazeti naomba aniangalizie HASSANI A KUYELA nilichelewa kupata taarifa
 
honger kwa wote walioitw na wakaoitw baad ya baadh kushndw. Kabla ya kusailiwa ni vema ukajisaili mwenyew ktk mamb yafuataya..
1.kuangalia kam mguu wako una UVUNGU nyayon.
2.kupima kipim kikuu, yaan H.I.V,TB,BP,KISUKAR,PUMU,FIGO nk. Kam una ugonjw wowot ni hatar kwa maish yak ucdanganye.
3.Kuhakikisha kam una nguv za kiume za kutosha. Rahisi tu, we vua nguo inama(bong'oa) alaf kohoa, inatakiw ukikohoa MZIGO USHTUKE.
4.Matege, matege ya kupind kwa nje na ukitembea magot yanakaribia kukutan, hayatakiw 7bu ni hatar kwa usalam wako.
5.kujua nchi znazopakan na tz kwa DIRA.
6.kujiamini unapojib maswal.
7.kumtizam uson anayekusail,husipepese macho watokuon unatoa taarif za uongo.
8. Kukata kucha,Kunyoa ndev,nyewe sehem za siri na kichwan.
9. Utulivu, epuka kuweka mikon mifukon na kutingisha miguu wakat wa mahojiano.
10.TAMBUA WIMBO WA TAIFA KWA UFASAHA.

Tafadhar zingatie mlioitwa jambo dogo linawez kukunyima kazi, kala her .Ahsanten sana

Vipi kuhusu mtu mwenye makovu kwenye mwili hasa hasa yale makovu makubwa makubwa yanayovimba ka jipu?!
 
kaka katika watu wewe nakupa tano, ila kwangu mimi tatizo ili guu langu sijui kama lina uvungu au la. sasa nisaidie nitawezaje kujipima kama mguu una uvungu au hapana. na je kwa sehemu kama ccp unyayo kupimwa unaweza kukurudisha nyumbanikwa kukosa uvungu tu wakati qualities zote unazo.

JE, pia unaposema mzigo ustuke unamaanisha mzigo upi? kipenyo au dushelele. tunaomba ujuzi wako tafadhali

Kama unataka kupima uvungu :

Chovya kitambaa chochote kwenye maji. Kitandike kwenye sakafu halafu kanyaga hicho kitambaa ukiwa umesimama halafu toka ukanyage mahali pakavu. Tazama foot-print ya unyayo wako baada ya kutoa mguu hapo mahala pakavu ulipo kanyaga. Hivyo ndivyo wanavyo pima. Siku hizi unyayo sio ishu sana labda kama unaenda kwenye Jeshi la Wakurya Tanzania.
 
Kwa hiyo inabidi uvungu uwepo au usiwepo? ?
 
Ki maumbile ukitembea mwendo mrefu, kama huna uvungu ni kawaida miguu kuuma au kufa ganzi sababu mzunguko wa damu chini ya unyayo unakuwa hafifu. Ipo kijeshi zaidi, si unajua kuna wakati inabidi mtembee kilomita za kutosha?
 
Kama unataka kupima uvungu :

Chovya kitambaa chochote kwenye maji. Kitandike kwenye sakafu halafu kanyaga hicho kitambaa ukiwa umesimama halafu toka ukanyage mahali pakavu. Tazama foot-print ya unyayo wako baada ya kutoa mguu hapo mahala pakavu ulipo kanyaga. Hivyo ndivyo wanavyo pima. Siku hizi unyayo sio ishu sana labda kama unaenda kwenye Jeshi la Wakurya Tanzania.
Nashukuru kusikia unyayo sio ishu. lakini je inamaana hata jeshi la polisi au magerza na uhamiaji au namaanisha kule CCP uwa awazingatii unyayo? naomba nipe moyo kamanda
 
Wanazingatia lakini ukiwa mjanja unapita tu. Si unajua jeshini akili :)! Na pia kama uko fresh kwenye mambo mengi inakuwa rahisi zaidi watu kuto bana sana kwenye mambo kama hayo. Kupima ni lazima. Hiyo ni itifaki. We unachotakiwa ni kujiamini. Jeshi linapenda watu wanaojiamini.
 
je! mambo gan mengne muhm wanahtaj ukiacha na hayo mkuu msaada
 
Ki maumbile ukitembea mwendo mrefu, kama huna uvungu ni kawaida miguu kuuma au kufa ganzi sababu mzunguko wa damu chini ya unyayo unakuwa hafifu. Ipo kijeshi zaidi, si unajua kuna wakati inabidi mtembee kilomita za kutosha?

Saf sana ndugu kwa ufafanuzi, ubarikiwe
 
je! mambo gan mengne muhm wanahtaj ukiacha na hayo mkuu msaada
Afya ikiwa njema, mwili usio na ulemavu dhahiri, vyeti viko sawia na halali, hamna ushoga, uwezo wa kujieleza
(kama ni kidato cha nne na kuendelea kujieleza historia yako kwa ufupi kwa maneno na maadishi kwa lugha ya kiingereza), hiyo inatosha kupambana.
 
Mkuu Vipi kuhusu mtu mwenye makovu
kwenye mwili hasa hasa yale makovu
makubwa makubwa yanaliovimba ka
manundu?!
 
Mkuu Vipi kuhusu mtu mwenye makovu
kwenye mwili hasa hasa yale makovu
makubwa makubwa yanaliovimba ka
manundu?!

Hiyo ni kesi ngumu kidogo. Kifupi unapoenda jeshini, mwili unakuwa ni wa jeshi na ndio maana huwezi kwenda
kulala wakati wa chakula kisa hujisikii kula au unasikia usingizi. Wao ndio wenye mwili wao. Wanaupa kazi na wanaulisha.
Sasa usaili ni kama shopping ya jeshi katika kutafuta vijana wao. Kwa hiyo mwisho wa siku wao ndio wataangalia kama
hilo kovu lina impact gani kwa mtu kuwa mwanajeshi, mfano kama una kovu la risasi au panga inakuwa ni mjadala
mzito.
 
Back
Top Bottom