Hatimae uhamiaji yametimia

Mdau tu wa kitaa, anadai kuna mkubwa kamtonya, dah Tanzania yangu unaelekea wap?

usidhani kila mwarabu ni muislam au kila mzungu ni tajiri. hizo ni propaganda tu kukutisha ili kwenye usaili uwe mpweke ujisikie kama unapoteza muda wako tu. puuzia habari za kitaani songa mbele uwe na angalau imani kidogo.
ukitaka ushauri wangu chukua utaki basi. kazi ni kwako
 
Thanks ndugu
 
Jamani vipi kuhusu Mkaguzi msaidizi wa uhamiaji? au mpaka usaili huu wa awali uishe?

Mpaka sasa hivi ww ni mtu wa hamsini kuuliza nafasi ya wakaguzi wasaidizi humu Jf katika nafasi 70.. Kuwa na subira utayaona tu mambo mazuri hayataki haraka
 
Hii idara inahitaji chekeche la hali ya juu. Inaaibisha taifa. Ikishindikana JWTZ wangepewa kazi ya kushughulikia wahamiaji haramu kwa walau wiki moja. Maana hawa jamaa wanajua kuchukua hesabu tu kwa Wachina, Wahindi, nk
 
Je UNA USHAHIDI WA HAYO UYASEMAYO???
Jiangalie usije ukapotea aisee
 
nimejaribu kuingia kwenye website yao cha kushangaza nimekutana na ujumbe huu
[h=1]Bandwidth Limit Exceeded[/h]The server is temporarily unable to service your request due to the site owner reaching his/her bandwidth limit. Please try again later.

ni hatari sana kwa institution kama iyo
 
honger kwa wote walioitw na wakaoitw baad ya baadh kushndw. Kabla ya kusailiwa ni vema ukajisaili mwenyew ktk mamb yafuataya..
1.kuangalia kam mguu wako una UVUNGU nyayon.
2.kupima kipim kikuu, yaan H.I.V,TB,BP,KISUKAR,PUMU,FIGO nk. Kam una ugonjw wowot ni hatar kwa maish yak ucdanganye.
3.Kuhakikisha kam una nguv za kiume za kutosha. Rahisi tu, we vua nguo inama(bong'oa) alaf kohoa, inatakiw ukikohoa MZIGO USHTUKE.
4.Matege, matege ya kupind kwa nje na ukitembea magot yanakaribia kukutan, hayatakiw 7bu ni hatar kwa usalam wako.
5.kujua nchi znazopakan na tz kwa DIRA.
6.kujiamini unapojib maswal.
7.kumtizam uson anayekusail,husipepese macho watokuon unatoa taarif za uongo.
8. Kukata kucha,Kunyoa ndev,nyewe sehem za siri na kichwan.
9. Utulivu, epuka kuweka mikon mifukon na kutingisha miguu wakat wa mahojiano.
10.TAMBUA WIMBO WA TAIFA KWA UFASAHA.

Tafadhar zingatie mlioitwa jambo dogo linawez kukunyima kazi, kala her .Ahsanten sana
 
mikagati sio tu mkaguz nafas yoyot yakijesh ukipit JKT ukiw na gamb unapew kipaumbel zaid.. Kam wew ndo kiongoz wa uhamiaj utamchukua flesh from na kumuacha aliyepat mafunz JKT? alaf akiend kustate utasem ulimuach kwa 7bu zip kam afy yak ni nzma?
 
Kuwen na subira mkaguz msaidiz wa uhamiaji wataita serikal haina hela bajet ndogo kwaiyo mtaenda mafunzo miez mitatu tu, kisha mtaanza kaz
 
Back
Top Bottom