Baada ya makelele mengi hapa jamvini hatimae serikali imemfikisha india kwa ajili ya matibabu ..india aliekuwa mh hawa ngulume
pongezi kwa hili natumaini nexty tym amtosubiri kelele za jf kuwapeleka watu wenu
Jk nae atapata shida sana, atapomaliza muda wake wa kua madarakani..