Hatimae ngulume awasili india baada ya kilio cha jf

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Baada ya makelele mengi hapa jamvini hatimae serikali imemfikisha india kwa ajili ya matibabu ..india aliekuwa mh hawa ngulume
pongezi kwa hili natumaini nexty tym amtosubiri kelele za jf kuwapeleka watu wenu
 
huyu mama ngoja akome.. nakumbuka alikuwa anawapiga watu vibao wakati mkuu wa wilaya ya kinondoni........ hilo ni shavu la pili mama... pole lakini ajue dunia haina mwenyewe
 
Kwani huyu mama alikuwa ameshastaafu au ukiachwa ukuu wa Wilaya ndo kazi basi?
 
Baada ya makelele mengi hapa jamvini hatimae serikali imemfikisha india kwa ajili ya matibabu ..india aliekuwa mh hawa ngulume
pongezi kwa hili natumaini nexty tym amtosubiri kelele za jf kuwapeleka watu wenu

Thats not true waliofanikisha ni gazeti la mwananchi credit goes to them. Tusipende sifa tusizostahili wadogo zanguni.
 
Mungu amsaidie ila akumbuke kutubu kwa mwenyezi mungu kwa mabaya aliyofanya akirudi kutoka india

''' mwenyezi mungu mtukufu umjalie huyu mama afya njema ili aweze kukujua wewe na ukuu wako. Ajue kwamba wewe huinua na kushusha..ajue kwamba kumpendeza mungu ni chanzo cha maarifa....atumikie wengine....apende kutenda mema na kuchukia ubaya.....ninaomba hayo nikiamini mungu wewe ndio hutoa afya kwa wanao... Nawe wajua kuwafurahisha wote wakufuatao....utujalie tuwe wema...tujue kuna leo na kesho..... Tutende yanayokupendeza; kama kuwapenda wenzetu,kuipenda ibada, kukusifu na kukuabudu, kulitaja jina lako wakati wote, kuchukia maovu kama ufisadi nk. Kushi kufuata maagizo yako
amina..amina...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom