Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Tafuta zako ndo uolee, gawio lako ulishalitumia masomoni!
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Kamuwekee heshima bar... Yaani mpaka sasa hajui nini cha kufanya... Kuna tatizo mahala .....
 
Nyumbani kwenye kibubu

Akiweka nyumbani kwenye kibubu atakuwa anavunja sheria ya MONEY LAUNDERING ambayo ukishtakiwa haina dhamana na kifungo chake ni balaa!! If he takes that RISK then he must make sure the home does not have any rats!!!
 
Akiweka nyumbani kwenye kibubu atakuwa anavunja sheria ya MONEY LAUNDERING ambayo ukistakiwa haina haina dhamana na kifungo chake ni balaa!!
Ngoja nikaisome money laundering vizuri na pia Hording money.

Na wewe pia nakushauri ukaisome.
 
Mimi nimeishai soma; mdogo wake Rostam alikutwa na $ 9000 akastakiwa kwa kosa la money laundering ingawa ukisafiri sheria inakuruhusu kuchukua $ 10000!!!!
Kaisome tena money laundering kabla hujaja kunijbu hii comment
 
Fix tupu mkuu 98m ndo ukahesabu wewe, anazo mkononi? kastaafu ana miaka 64-65, Tchao muuza nyanya
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Fanya namna israel ampitie ufaidi mzigo wote. Kama vipi pm nikupe mganga
 
Hela zimeingia kwenye acc sasa ww unaenda kuzihesabu kama zimetimia??
Au siku hizi wanalipa cash?
Utajua wewe ila nimeshafika mbeya Leo kesho mchana baada ya church tunakaa tunaaza kushauriana namna ya kuzitumia
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Mwambie aoe mke mdogo mdogo ili afurai na asife kwa haraka,afu zngne chukua na ww uje town upige raha
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Angeweza kununua bonds au shares sema tatizo la bond au t-bills ni mtaji mkubwa unahitajika, shares tatizo dividend inaweza lipwa akiwa ametangulia na pia soko letu la mitaji halipo liquid kivile ingawa share ka za DSE zinaweza kulipa, hivyo option nzuri inabaki benki aweke kwenye fixed account. Anaweza kuwekeza pia kwenye hizi closed/open fund, sina hakika na return yake kwa sababu ya hali ilivyo sasa. Hatuna hedge fund, zingekuwepo ka yeye ni risk taker angeweza try ingawa nazo si nzuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom