Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Mzee wako ana bahati angechelewa kidogo tu angepewa 25% sawa na mil 24 na hiyo age aliyokuwa nayo lazima hiyo 75% angetuachia tujengee reli ya mwendo kasi
 
atulie kwanzasiwe na wenge, ikibidi aziweke ata kwenye fixed deposit miez 6 wakat anawaza vzr namna ya kuziwekeza mkuu.

Hiyo 9m akiweka fxd deposit bank yenye competitive rate anakula sio chini ya 4m
 
Lamba barafu ukufe nawewe mwambie wakwako atafu ukijifanya jeuri unakutana na jeuri
Mbona wanalipwa zmeshahesabiwa unaenda hesabu nini mkuu? si wanalipiwa kwenye akaunti zao za benki ndugu na ukichek salio tu unaona au?
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana

Kwa uwezo wa mzee mshauri achukue hata 50% aweke fixed account awe anakula riba kidogo kidogo. Hizo zingine ndio acheki uwekezaji.Hela za mafao hizi wazee wetu huwa zinawapa wehu hawakawii kufilisika.
Muongoze we ndio jembe
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana

Nyie ndonmnasababisha kikokotoo kiwe 25%. Mhagama akiona hapa atapata reference of how wazee wanaibiwa
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana

Wewe pambaf sana. Ungekuwa mwanangu ningekufekelea mbali. Unafikiri kwa kutumia makalio na pengine unavuta bangi. Kwa hicho ulichandika, mzee wako hana sababu ya kukupokea. Nenda kafie mbali. Huna msaada kwa mzee wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom