Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Wewe pambaf sana. Ungekuwa mwanangu ningekufekelea mbali. Unafikiri kwa kutumia makalio na pengine unavuta bangi. Kwa hicho ulichandika, mzee wako hana sababu ya kukupokea. Nenda kafie mbali. Huna msaada kwa mzee wako.
Duuh kuna wazee wakali dunia hii.
 
Yaani ni bora hii 25 percent vinginevyo tutakufa mapema sana kama watoto wenyewe ndio hawa .
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Achana na pesa za mzee

Tafuta zako
 
Hizo ela mwambie atafute sehemu nzuri maeneo yaliyochangamka anunue ajenge nyumba za kupangisha
 
Ndio maana wewe sio mzee wangu fwala we kwanza sizani kama unawatoto wewe
Wewe pambaf sana. Ungekuwa mwanangu ningekufekelea mbali. Unafikiri kwa kutumia makalio na pengine unavuta bangi. Kwa hicho ulichandika, mzee wako hana sababu ya kukupokea. Nenda kafie mbali. Huna msaada kwa mzee wako.
 
Maneno yako mkuu yanaonesha ulikuwa umesubiri kwahamu huo ujio wa pesa, pia kumbuka hata kuisha hazichukui muda msipokuwa makini.
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Mzee ana 65 mwambie achukue nyumba ndogo nusu ya umri wake amsaidie kuzipangia budget maana wewe utamuibia tu
 
Kama hajawahi kufanya biashara asijiingize kwenye biashara itaisha yoote!
Mwambie atoe walau mil 50 afungue fixed account benki, kila miezi mitatu hatakosa mil 3 faida( inamtosha kbs kuishi bila stress) inayobaki mil 40 afanyie chochote!
Benki gani mzee ina riba hii ya kuweka 50M na kupata 3M kila baada ya miezi mi3?
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Mzee alikuwa kada gani? Maana kada nyingine ziko benchi mpaka leo malipo hakuna ?
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Kwanza atafute kabinti kadogo kama K-lyn ili kawe kanamfanyia massage.
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Mke wa uzeeni ana noga mbaya...mwambie aongeze Dogodogo...itamsadia kufikisha angalau miaka 98....
 
mwambie mzee wako aoe binti wa miaka 20 au 30 hata 40, bila shaka hizo hela hazitakosa matumizi
 
Kama uchumi wa nchi ungekuwa stable ningemshauri afungue fixed deposit account, kwa hali ilivyo unaweza kusikia benki imefiliska.

Kama mna utaalamu anunue US$ au UK£ azipumzishe kwa miaka hii miwili ya utawala wa jiwe uliobaki.
utawala wa jiwe au sio

'Gear yourself to solutions in every problem'
 
Mshauri sasa aoe Mke wa Kumpa Joto. Mama yako umri umeshaenda.... Aje Town huku achukue mtoto wa Mjini miaka 20-25 akampe joto Huko Mbeya. Mi ninaye Demu ambaye anataka sana kuolewa ila mi sipo tayari.kama vipi nenda naye mzee wako akamwone.ni bomba sana....

Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom