Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
65 years anastafu mwaka huu!!!!!
Alidanganya umri?
 
Hongera mkuu, pia baba yako ni muntu wa kyala! Baba wengi wakipata pesa huwa wanawehuka hupata kichaa cha pesa.Nakushaur Ongezeni nyumba kama zinatosha hata nyumba mbili tena ikibidi mnunue tu watu wengi wanadaiwa wanauza nyumba bei chee .Pili ongeza mashamba panda parachichi ndizi na miti.Msinunue magari yatawafilisi ila miradi mtayoiweka ndio ilete gari.
 
Huna cha kumdhuru. Mwache azitumie hela zake.
 
Hongera mkuu, pia baba yako ni muntu wa kyala! Baba wengi wakipata pesa huwa wanawehuka hupata kichaa cha pesa.Nakushaur Ongezeni nyumba kama zinatosha hata nyumba mbili tena ikibidi mnunue tu watu wengi wanadaiwa wanauza nyumba bei chee .Pili ongeza mashamba panda parachichi ndizi na miti.Msinunue magari yatawafilisi ila miradi mtayoiweka ndio ilete gari.
Fact
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Empty Set.
 
Pesa ya baba yako wewe unataka ushauri wa kuifanyia kazi, tafuta zako acha mzee ale mafao yake ili aongeze umri wa kuishi, muache arudi katika ujana wake.
Halafu baadae aje abebe mzigo wa kumuhudumia huyo mzee eti eeh? Siamini kama jf kuna watu mna roho mbaya namna hii, yani we ni mchawi kabisa, huyo baba asingemshirikisha angeondoka Dar, angejua kama pesa zimeingia,? Wivu wa kike tu.
 
Nadhani ndio maana
kwa umri ulio nao hadi sasa haukuwa na plan zozote? in case of?
Pia naona kama hakuna hizo milion wala nini ni kama unahitaji ujaze watu hapa baasi, maana kwa akili tu yako ilivyo ingekuwa kweli
naona ulikuwa bata batani,
Pia ungekua timamu nadhani usingetumia mambo ya kueleza mirathi ama mafao hapa ungeleta hoja ya kuomba ushauri ama mawazo ya biashara kwa namna nzuri na nyingine kabisa.
Pia kama nikweli inaonyesha nimalimbukeni mno maana unaweka kila jambo hadharani namna hiyo, ni shida sana mkuu
Lakini pia kama ingekuwa kweli kwa umri wa mzee wako sidhani kama kulikuwa na haja ya wewe kuitwa kwenda kuhakiki pesa kama iko sawa.
Maana alikuwa ni mtumishi wa serikali wa taaluma safi kabisa hoja ulizoleta aliweza kuzihimili yeye mwenyewe

kama nikweli na umepewa 20m ndio ingekuwa hoja yawewe kusema nina 20m naombeni mawazo ya biashara leo hii mimi ningeweza kukutunuku wazo la biashara una inves only 12m na kia siku unakuwa na uhakika wa kuvuna laki 3 hadi 5
lastly kama unafamilia nina wasiwasi sana na namna unavyosimama kama baba maana issue ndogo kama hii imekuonyesha namna usivyojielewa.

Sema Pia kama nikweli basi nendeni mkamtolee Mungu Shukrani
Lakini pia kama nikweli Usipaniki Broo
 
Fixed deposits
Atafute bank yenye kumpa intrest nzuri walahi
 
Halafu baadae aje abebe mzigo wa kumuhudumia huyo mzee eti eeh? Siamini kama jf kuna watu mna roho mbaya namna hii, yani we ni mchawi kabisa, huyo baba asingemshirikisha angeondoka Dar, angejua kama pesa zimeingia,? Wivu wa kike tu.
Hakujua kama pesa zimeingia kwa kwenda Dar, hizo ni enzi za ujima. Zilionekana kwenye akaunti wakubwa Mbeya. Yeye akadai kaenda zihesabu, maana mfumo wa benki pengine hauamini. Hakuwa hata na haja ya kwenda Dar.
 
Sijawahi muangusha na sita muangusha mzee wangu mie
Nakuomba umshauri Mzee wetu achukue sehemu ta fedha awekeze kwenye Dhamana za Serikali (Treasury Bond). Huu ni uwekezaji wa uhakika kabisa. Fika Benki Kuu Tawi la Mbeya kwa msaada zaidi, au unaweza kumsaidia akaongea na Benki yake ya Biashara kwa ufafanuzi zaidi. Mpe Hongera sana Mzee.
Treasure bond za nini! Nenda nunua nyumba za nguvu mzee awe anakula pesa hio ndio bondi ya uhakika.Nyumba viwanja mashamba hupanda thamani lakini pesa hushuka thamani, ninakuhusia ndugu yangu mnunulie nyumba mbili kubwa mahala pazuri ili awe anapata kodi, hutajuta na atakuombea maisha marefu.
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
25% inaanza mwezi wa 8.Uwe unafuatilia vyombo vya habari.
 
Mlengeshe mzee apate jiko dogo la miaka 21 ale mafao yake huku anapepewa na mtoto mbichi.
 
Kwani hao wa kike sio watoto wake?

Kwenu watoto ni wa kiume pekee wanaorithi?

Vijana wenzangu, tuwatengenezee watoto maisha yao. Hela za kustaafu ziwe zetu, watoto wasizitolee macho.

Kama unazaa zaa tu kama kuku huku hujawawezesha watoto wako ndio wanakuja kua kama huyu anaetegemea mafao ya baba yake aolee.

Tusisahau watoto wa kike pia ni watoto wetu, wana haki ya kurithi mali ya baba yao.
Watarithi vipi pande zote mbili arithi nyumbani na arithi ukweni (kwa mmewe) hiyo si haki hata kidogo

Mtoto wa kike upewa Mali na wazazi wake kama zawadi tu na si vinginevyo.

Urithi unawahusu wanaume.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom