Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Mkuu msimdhulumu baba yenu hilo ni jasho lake la utumishi. Fanyeni tu uwekezaji wa pesa money investment yani zikae hukohuko benki zizaliane.

Maadam umesema hapo mshua anainvestment zingine kama nyumba bodaboda nk komaeni na hizo.
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Mbona alipita umri wa kustaafu, ilitokeaje
 
Aoe mke mwingine
 
Hahahahaa hongera zake. Kwa uzoefu ni kwamba hela za wastaafu huwa hazikatishi mwaka mmoja au miwili. Hivyo basi kama mzee wako ni muelewa basi msaidie kuzifanya hizo hela zake zilete hela nyingne.
Je alijiandaa vyema,kwa maana ya hana watoto wanaosoma,je amejenga? Je anakitu kinachomuingiza hela ya kula kila siku kabla ya hiyo pension?
Angalien mazingira yenu kisha muangalie ni huduma au bidhaa gani mnaweza kuuza ambayo inamahitaji hivyo mnaweza kufanya kama biashara
Wastaafu wengi hukimbilia biashara ya daladala wakiamin inalipa sana kwa kuangalia malengo ya siku ni sh 80,000/ mara 30 mara miez 12 basi wanaona utajiri huu hapa. Hapo hawajatoa matumiz. Pia kuna biashara ya mashine za kusaga na kukoboa nazo saiz zmevamiwa na wastaafu hivyo kufanta soko kuwa gumu kama hauna ubunifu.
Pia kama wewe kijana wake haujaajiriwa nafikiri itakuwa njia nzuri ya mzazi wako kuwekeza fedha kupitia wewe.
 
Ushauri muruwa
Kama uchumi wa nchi ungekuwa stable ningemshauri afungue fixed deposit account, kwa hali ilivyo unaweza kusikia benki imdmefilisika.

Kama mna utaalamu anunue US$ au UK£ azipumzishe kwa miaka hii miwili ya utawala wa jiwe uliobaki.
 
Kwani hao wa kike sio watoto wake?

Kwenu watoto ni wa kiume pekee wanaorithi?

Vijana wenzangu, tuwatengenezee watoto maisha yao. Hela za kustaafu ziwe zetu, watoto wasizitolee macho.

Kama unazaa zaa tu kama kuku huku hujawawezesha watoto wako ndio wanakuja kua kama huyu anaetegemea mafao ya baba yake aolee.

Tusisahau watoto wa kike pia ni watoto wetu, wana haki ya kurithi mali ya baba yao.
 
Anasomesha mdogo wangu Wa mwisho yuko Mwaka Wa mwisho chuo pia ananyumba mbili ana bodaboda nadhani sasa biashara ndio itamfaa
 
Kama uchumi wa nchi ungekuwa stable ningemshauri afungue fixed deposit account, kwa hali ilivyo unaweza kusikia benki imdmefilisika.

Kama mna utaalamu anunue US$ au UK£ azipumzishe kwa miaka hii miwili ya utawala wa jiwe uliobaki.
Fixed deposit pia sio mbaya sana coz ni mstaafu ila kwa kijana hii sio biashara kabisa.
 
Wako kwa waume zao huko
Kwani hao wa kike sio watoto wake?

Kwenu watoto ni wa kiume pekee wanaorithi?

Vijana wenzangu, tuwatengenezee watoto maisha yao. Hela za kustaafu ziwe zetu, watoto wasizitolee macho.

Kama unazaa zaa tu kama kuku huku hujawawezesha watoto wako ndio wanakuja kua kama huyu anaetegemea mafao ya baba yake aolee.

Tusisahau watoto wa kike pia ni watoto wetu, wana haki ya kurithi mali ya baba yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom