Nadhani ndio maana
kwa umri ulio nao hadi sasa haukuwa na plan zozote? in case of?
Pia naona kama hakuna hizo milion wala nini ni kama unahitaji ujaze watu hapa baasi, maana kwa akili tu yako ilivyo ingekuwa kweli
naona ulikuwa bata batani,
Pia ungekua timamu nadhani usingetumia mambo ya kueleza mirathi ama mafao hapa ungeleta hoja ya kuomba ushauri ama mawazo ya biashara kwa namna nzuri na nyingine kabisa.
Pia kama nikweli inaonyesha nimalimbukeni mno maana unaweka kila jambo hadharani namna hiyo, ni shida sana mkuu
Lakini pia kama ingekuwa kweli kwa umri wa mzee wako sidhani kama kulikuwa na haja ya wewe kuitwa kwenda kuhakiki pesa kama iko sawa.
Maana alikuwa ni mtumishi wa serikali wa taaluma safi kabisa hoja ulizoleta aliweza kuzihimili yeye mwenyewe
kama nikweli na umepewa 20m ndio ingekuwa hoja yawewe kusema nina 20m naombeni mawazo ya biashara leo hii mimi ningeweza kukutunuku wazo la biashara una inves only 12m na kia siku unakuwa na uhakika wa kuvuna laki 3 hadi 5
lastly kama unafamilia nina wasiwasi sana na namna unavyosimama kama baba maana issue ndogo kama hii imekuonyesha namna usivyojielewa.
Sema Pia kama nikweli basi nendeni mkamtolee Mungu Shukrani
Lakini pia kama nikweli Usipaniki Broo