HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,208
- Thread starter
- #61
Hayo nimawazo yako ulitaka mtu atoke kwa mmewe aje kujadili maendeleo nyumbaniYaani hii ni balaa, mtoto anaanza kuomba ushauri wa kuzipangia bajeti hela za mzee wake wakati mwenye nazo yupo hai, na vile vile anaonekana ni mbinafsi anadai yeye ndo pekee wa kuzisimamia na kuzipangia bajeti akiona kua wenzie hawahusiki kwa kua ni wa kike, je siku mzee atakapotangulia mbele ya haki hio hela si atawadhulumu wenzie kama itakua bado ipo.