Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana

Mahari.
 
Mwambie atafute kitega uchumi kinachozungusha fedha na faida juu

Biashara, usafiri au nyumba za kupanga
 
"Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi." UTTER NONSENSE.

Ina maana dada zako hawajui kuhesabu hela?

On a positive note, hongera kwa mzee wako kwa kustaafu na kwa kupata mafao yake.
 
Baba ako anajua kama unaipangia bajeti pesa yake(unataka kuoa kwa pesa yake[emoji23][emoji23])
 
"Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi." UTTER NONSENSE.

Ina maana dada zako hawajui kuhesabu hela?

On a positive note, hongera kwa mzee wako kwa kustaafu na kwa kupata mafao yake.
Nawewe stafu
 
Wako kwa waume zao
"Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi." UTTER NONSENSE.

Ina maana dada zako hawajui kuhesabu hela?

On a positive note, hongera kwa mzee wako kwa kustaafu na kwa kupata mafao yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom