Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Hatimae mzee kavuta 98m za kiinua mgongo

Hakuna aliyewahi kutajirika kwa kuinvest pension. Cha muhimu awagawie kidogo kidogo nyingine azile taratibu taratibu.
By the way, imekuwaje amestaaf na 65?
 
Wakuu habari zenu Jana
Mzee wangu ni mstaafu alistafu mwezi Wa pili Mwaka huu hivyo 25% haimuhusu sasa Jana salio lake likasoma 98M kwakuwa Mimi ndio mtoto wake kidume wengine wakike imenibidi nisafiri toka dar kwenda mbeya kuhesabu kama ziko sahihi sasa hivi ninatafakari cha kumshauri afanye maana age yake imeenda ana 65 years nyumba anazo mbili sehem tofaut mashamba anayo ng'ombe amefuga boda boda anayo sasa wakuu nisaidieni mawazo awekeze wapi ili angalau asikaukiwe nadhani namimi sasa naweza kuoa maana Mahali imepatikana
Mkuu hela za mafao ya mzazi wako unazifungulia uzi huku? Inaonekana ni jinsi gani mafao ya mzazi wako yanavokuchanganya.
 
Kanunue urembo wa wanawake hasa handbags...uza jumla na tejareja
 
65 bado hyo ......warembo wanaweza mfata

Ova
 
Mama bado yupo?maana kama hayupo naziona ndoto zake kwa mbaali zitakakoenda kuishia...
 
Yaani hii ni balaa, mtoto anaanza kuomba ushauri wa kuzipangia bajeti hela za mzee wake wakati mwenye nazo yupo hai, na vile vile anaonekana ni mbinafsi anadai yeye ndo pekee wa kuzisimamia na kuzipangia bajeti akiona kua wenzie hawahusiki kwa kua ni wa kike, je siku mzee atakapotangulia mbele ya haki hio hela si atawadhulumu wenzie kama itakua bado ipo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom