Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Nachelea kuonekana nimejaa negativity mkuu, lakini nakusihi ufanye provision (nikitumia lugha ya kihasibu) kwa ajili ya uwezekano kwamba huyu mrembo ana mambo mengi ambayo hayatakupendeza...nazungumza hivi ikiwa mimi ni victim wa infatuations kama wewe tu..ni vema ukawa tayari kuendana na baadhi ya vitabia vyake ambavyo vitajionesha hapa mbeleni kwa sababu vinakuja..

Vinginevyo nawatakia kila la kheri mkuu..mvumiliane!!

Hahaaa! Provision for bad debts au depreciation LOL! Akifanya ya Bad debts hapo kitakachofatia ni kuzi write off hizo bad debts moja kwa moja! Niache ushambenga kusoma AC 100 na AC 101 imekuwa nongwa!!!!
 
Mkuu kwanini usiwatungie story hawa bongo movie wetu?. Kwa upeo wangu nimegundua una kipaji cha hali ya juu. kaza buti. mia
 
hii ajabu kabisa yaani unamwona mtu kwa masaa afu nasema mke mwema
how do u know that?
mke mwema hujulikana baada ya maombi na kuchungazana kwa muda mrefu.
mke mwenye sifa zote zipi hizo umezijua lini?kwa muda wa saa chache?
we mtoto kabisa hata mwanangu wa miaka 7 atakushangaa

time will tell coz mi ndo nnaish nae siyo wewe

huyo mtoto wako wa miaka 7 unanifananisha nae?kwel umenidharau,ameridh akili zako,unafikiri kama mtoto kazaliwa na clown unategemea awe na akili,
 
Lil buoy, you watch too much movies!
Ever watched aircraft investigation documentaries, to the extent of feeling that you can fly a plane and save it when there is a mechanic default? Lmao!

natamani kama angekuelewa.
 
Mwenzako alikuja na thread za kiboya kama hizi back 2 back akapigwa ban juzi juzi tu,kuwa makini
 
natamani kama angekuelewa.

hiv unaona huyo kaandika cha maana.
Wabongo bana;yaani yeye kutumia lugha ya david kameroon unamuona wa maana,sina shaka nyie ndo walewale kina kameroon,so take this you clown

Alikua anamaanisha kuna mtu anaweza kusoma kitabu cha ndege mpaka akawa na fikira kwamba anaweza kuendesha ndege but haiwezekan coz nying zinakua ni movie tu,alichokimaanisha ni kwamba thread yangu ipo more illusioned which can not be proved like that incident of flying an aircraft only by instructions from the book.niliona kaandika upumbavu ndo maana sikulielezea.
Angeandika kichina labda angeniacha.
 
Kwanza kabisa poleni na majukumu ya kila siku hasa kwa mnaofanya kaz mpaka mwisho wa wiki.

Nianza na thread yenye kichwa "natafuta mwanamke wakunizalia mtoto kwa mkataba"ambapo nilipata e-mail 3 nilizoziona zinafaa na nikazileta kwenu kupitia kicha hiki"ni mkataba upi unafaa kumpata mtoto wa mkataba kutoka kwa wanawake hawa" hapa pia mlinishaur vizuz.Nilianza kuzifanyia kaz e-mail hiz kama ifuatavyo


1.safari yangu ya kwanza ilikua dodoma ambapo kwenyd majira ya saa tano nilionana na mgeni wangu hotelini,alikua ni bint mrembo aliyevalia suti nyeus na miwani ya jua akiambatana na mwanasheria wake,alinipokea vizur na baada ya kupata kifungua kinywa tulianza mazungumzo yetu

Tliongea mambo meng katika mkataba wetu na hata ivyo tulishindwa kukubaliana katika baadh ya mambo kama
-mimi kuacha kaz idara niliyopo
-mimi kuhamia dodoma kwasababu yeye hawez kuhama
-kufunga ndoa baada ya miez 6 kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa mda huo na mambo mengind meng ambayo sintoweza kuyaandika yote.
Napenda kutumia fursa hii kukushukuru m**a**a kwa muda wako na ninaheshimu uamuz wako but hatutoweza kuwa pamoja

2.safar yangu ya pili ilikua katika jiji la mwanza (THE ROCK CITY),na mpaka kufikia majira ya saa moja jioni nilikutana na bint huyo mrembo kiumbo kuliko yule wa kwanza,ila kitu kimoja kilinifanya nisimpende kwasababu alikua amevaa ka-bucta kafupi mfano wa boxer tunazovaa wanaume hivyo kufanya sehemu kubwa ya mwili wake kuwa wazi,viatu alivaa high hills,alijipaka lipbam kwenye kope na lips,kucha za bandia mikononi n.k
kiujumla wanawake kama hawa kwangu binafsi huwa hawanivutii kwani na waona wanaonekana kama pepo/jini.(utanisamehe kwa kutumia neno hilo)
Tulikubaliana kila kitu na alikubali tuwe na mtoto bila malipo na alinielewa kuhusu mkataba wangu katika idara husika niliyokwisha kuielezea.Ni mtoto kutoka katika familia yenye uwezo na alisema anataka ndoa baada ya kujifungua ili aish na mwanamme anayezalisha,alisema anaweza kuudumi ujauzito na hatonitegemea kifedha
pamoja na mambo yote tuliyokubaliana lakini sikuona kama mwil wangu umeonyesha hisia zozote kwake hasa ni kutokana na mavaz yake japo ni bint mrembo,
natumia fursa hii kukushukuru kwa muda wako ila hatutoweza kuwa pamoja *e*m*

3.safari yangu ya tatu ni katika jiji la Dar es salaam na niliingia usiku ilipofika majira ya saa 12 mchana huu nilionana na mgeni wangu kwa mara ya kwanza na pind tulipogonganisha macho wote tulijikuta tukitabasam,kiukwel hisia zangu zilijionyesha kwa bint huyu kwani mnyama wangu alisimama ghafla hivyo niliingia maliwato/msalani kwaajili ya kumtuliza hasa ukitegemea nilikua nimevaa suruali ya kitambaa
Bint huyu alinipeleka mpaka kwenye chumba cha mkutano ndipo nilipo shtuka baada ya kuufungua mlango kwani nilikuta watu wamekaa kwenye meza kubwa mfumo wa pannel kama unapoingia kwenye interview tofaut na nilipokua nikizungumza na wale wengine.
Utambulisho ulianza na kulikua na mwanasheria,mchungaji,sister,kaka wa bint,boss wa bint na mfanyakaz mwenzake.

Katika mazungumzo yetu yaliyochukua saa 1 na nusu,walikubali niwe na bint huyu kama mchumba kabla ya kufunga nae ndoa baada ya mwaka mmoja(walinipa mda huu kwaajili ya kujipanga) na mambo yote yalikua kimaandishi,wakakagua vitambulisho vyangu vyote kuanzia pass ya kusafiria,ID ya chuo,kitambulisho cha kaz na vyote vikaambatanishwa kwenye mkataba,kiukwel hawa jamaa walikua sirious kama mimi nilivyokua.
Baada ya kusainishana nilibaki na bint kwa mda wa nusu saa tukiwa peke yetu na hapa ndipo nilipogundua uzur wa mwanadada huyu mda wote alikua akiangalia chini na kama akiniangalia aliachia tabasam ambalo lilitapakaa kwenye uso wake wote usiopakwa mkorogo kama yule wa mwanza,acha niwe waz blood pressure kwenye mnyama wangu ilikua kubwa sana so mda wote nilikunja nne kuuficha kwa wanaume mnafaham mtu ukivaa suruali ya kitambaa alafu jamaa aamke uone msala wake

Huyu ndio mwanamke atakaekua my one and only,ni kweli kua mke mwema anatoka kwa mungu ila hujui mtakutana nae wap,wengine msikitin,kanisani,chuoni,shuleni,mjini(posta),gengeni n.k ila mimi wa kwangu nimekutana nae kupitia jamii forum.
Boss wa mke wangu mtarajiwa kanipa cd yenye wimbo huu ambao mpaka sasa ndiyo ringtone kwenye cm Yangu
MUNGU IBARIKI JAMII FORUM,MUNGU WABARIKI WANA JAMII FORUM.
Ahsanteni

Nikka we lilke ur story...but just for the records ain't nobody reasonably think this shit is for real! Up ur game home boy.
 
Nikka we lilke ur story...but just for the records ain't nobody reasonably think this shit is for real! Up ur game home boy.

"shit?"
usiwe bendera,dont reply to a post when you've constipation you will always write foolish
 
Holla holla nikka in the first place shit was a street lingua for something but what u wrote is a real shit hope u gotta 'em toilet papers otherwise you stink.... watch out mama's boy!
 
Holla holla nikka in the first place shit was a street lingua for something but what u wrote is a real shit hope u gotta 'em toilet papers otherwise you stink.... watch out mama's boy!

go to hell clown
 
kweli mwanamke akikosa wakumsifia lazima aje kujisifia jf,
nani anataka kujua kama unasafiri na ndege?ok,madam tumeshajua,so what next?

Hahaha. Usiniambie kama kupanda ndege kwako ni dili?
Butbat least you can afford driving around the world in 6days kupata mwanamke wa kuzaa nae kwa kumlipa.
shule umemaliza lakini?
 
nimeshakujua wewe ni mtu wa hivi hivi.so haunipi shida kuanzia thread ya kwanza ulikua wa hivihivi,mtu akikuuliza wewe ni nani mwambie wewe ni mtu wa hiv hiv

Una utani na Jaffarai na Sugu? Yani haujali hata hata kidogoooo we mtu hivi hivi.
 
Kidotulotokordwak kila siku nakwambia ongea na shigongo akupe page moja kwenye magazeti yake ya rangi rangi,inaonekana ni mtunzi mzuri sana wa stories,pia ongea na Ally yakuti akusaidie kuandika script na pia akusaidie kutafuta casts ili mfanye na movie yake itauza sana!
 
Last edited by a moderator:
kidotulotokordwak kila siku nakwambia ongea na shigongo akupe page moja kwenye magazeti yake ya rangi rangi,inaonekana ni mtunzi mzuri sana wa stories,pia ongea na ally yakuti akusaidie kuandika script na pia akusaidie kutafuta casts ili mfanye na movie yake itauza sana!

ha ha ha ha....wahenga walisema jf is never boaring
 
hahahahaaaaaaaaa

hahaaahahahahahahahahaaaa

hahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaa

Asprin hubby njoo uone kazi ya majani, halafu plz weka ile picha ya mmea hapa

hahahahhahahaaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaaaaaa hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa lol

Haraka bila kuchelewa......

weed-we-trust.jpg




Na matokeo ya matumizi yake vigezo na masharti hayatazingatiwa.

attachment.php
 
hahaha, nimeshaona nyingi aisee kiasi kwamba rubani wa ndege angekuwa anakaa peupe kama wa daladala nahisi ningekuwa namuelekeza pa kukata kona!Saa zingine najisikiaga kama rubani, kwi kwi kwi.
In a strange way hizo aircraft investigations zinanifanya nisiogope kabisa. Nikipanda small chartered aircrats kama rubani ni mmoja nitakaa nae mbele na kuuliza maswali kama mtoto hadi tufike.

ha ha haaa hapo kwenye Red itabid akufukuze...mh mie kwa kweli mwisho wa siku zinanitisha just imagine kosa dogo tu ndege yote inateketea na abiria wake. Now nimekuwa fun wa ndege haswaaa mpaka nina vitabu vya kujifunza u_pilot na maintanance ya ndege....n this is because zile documentary zimenifanya nitake kujua zaidi.... i guess ningeziona nikiwa mdogo then by now ningekuwa rubani.
 
Back
Top Bottom