Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

Congrats bro but mwanamke kuona aibu na kuangalia chini haimaanishi kuwa na tabia nzuri,beware of mbwamwitu anayejivika ngozi ya kondoo,goodluck anyway!
 
Ukitunga story uwe unakumbuka tangu mwanzo. So ur'demu umemuacha,mana kuzaa tu mliachana akarudi,right ?na kwa hodi uliyoanzia ni mtoto,coz hauko tayari,ila mama'ko ndo anamtaka isnt? So ameongeza siku za kuishi na anauhakika after ndoa na mtoto ndo atamuona then ndo afe ? Uwiii, LM 'big' A OfF! Hahahahah ..
I love the 'pannel scene'! Ready 4action!
Ushauri Tengeneza Kitabu

kabla ya kufanya mtihani soma instruction

kuhusu dem nilishaeleza kwenye thread ya kwanza kwamba tulishindwa kuelewana na tukabaki kuwa marafik wa kawaida,

rejea urud
 
Ukitunga story uwe unakumbuka tangu mwanzo. So ur'demu umemuacha,mana kuzaa tu mliachana akarudi,right ?na kwa hodi uliyoanzia ni mtoto,coz hauko tayari,ila mama'ko ndo anamtaka isnt? So ameongeza siku za kuishi na anauhakika after ndoa na mtoto ndo atamuona then ndo afe ? Uwiii, LM 'big' A OfF! Hahahahah ..
I love the 'pannel scene'! Ready 4action!
Ushauri Tengeneza Kitabu
wewe kula 800 wangu!
 
Congrats bro but mwanamke kuona aibu na kuangalia chini haimaanishi kuwa na tabia nzuri,beware of mbwamwitu anayejivika ngozi ya kondoo,goodluck anyway!

thanx,Ushaur wako nimeuchukua kama alert na nitaufanyia kaz
 
Lil buoy, you watch too much movies!
Ever watched aircraft investigation documentaries, to the extent of feeling that you can fly a plane and save it when there is a mechanic default? Lmao!

Madam hapo kwa aircraft investigation kha...unaweza usipande ndege kwa kwel!umeona ile ya Tenarife disaster?ile ya KLM na PanAm I guess!au ile ya Pilot alowaita watoto wake kwa Cabin n then akawaacha wacontrol ndege then...!
 
nimeshakujua wewe ni mtu wa hivi hivi.so haunipi shida kuanzia thread ya kwanza ulikua wa hivihivi,mtu akikuuliza wewe ni nani mwambie wewe ni mtu wa hiv hiv

ukikua ndo utajua kuwa tuliyokuwa tunakushauri ni ya hivi hivi au ya ukweli,nakuone huruma sana mdogo wangu
kama kweli hilo unalosema lipo basi ngoja nikwambie umechemka wapi!
1.MKE WA KWELI HAPATIKANI KWA SHINIKIZO,uliza kaka zako na dada zako au hata sisi mama zako na baba zako kwa aliyeoana kwa mashinikizo iwe ya umri,kipato,wazazi,peer pressure walishuhudia nini kwenye ndoa zao
2.UNALOAMINI KUWA NDIO ISHARA YA TABIA NZURI KWA KUINAMA NA KUONA AIBU wala sio manake wapo watu ni wasanii mpaka King majuto mwenyewe anakaa chini
3.SIO KILA WAKATI WAZAZI HUWA SAHIHI KIMTAZAMO WALA KIMAONO HAIJALISHI WAMETUFANYIA MANGAPI KWENYE MAISHA YETU
4.TOKA THREAD YA KWANZA TAYARI ULIONYESHA UKO DESPERATE ,huyo binti lazima akupe wehu utakuja tu kuusema hapa
5.MAISHA NI ZAIDI YA KUWA NA FEDHA KUNA WATU WANA UKWASI MPAKA WANACHUKIA LAKINI YET NI MASIKINI SANA,hivyo bas kuwa na pesa,mali,kufanya kazi usalama wa taifa na mapompompo mengi wala hujayaona maisha bado
6.KUZAA WATOTO NA KUWALEA NI WAJIBU WA KILA MZAZI,hatuhitaji kulipwa fadhila ili kujua kuwa unasema ahsante!
 
Hongera kwa kumpata mwenza kama movie vile. Hii ukikutana na wadau wa bongo movie na ukuiongezea nyama kwenye skript yako inaweza kutoka bonge ya movie na ukalamba mkwanja.
 
Lil buoy, you watch too much movies!
Ever watched aircraft investigation documentaries, to the extent of feeling that you can fly a plane and save it when there is a mechanic default? Lmao!

i'm not a movies fan,jesus once said "if i tell you ,you will not understand and if you understand you will not believe"
 
WALA HUJAKOSEA LAKINI HATUKUSHINIKIZWA na wazazi wetu,wala hatukuoana kwa pressure ya kupata watoto

basi humo ndani ni vituko,maana wote mnatumia vichwa kufugia nywele baada ya kutumia vichwa kufikiri,anyway nani mke kati yenu?
 
Kwanza kabisa poleni na majukumu ya kila siku hasa kwa mnaofanya kaz mpaka mwisho wa wiki.

Nianza na thread yenye kichwa "natafuta mwanamke wakunizalia mtoto kwa mkataba"ambapo nilipata e-mail 3 nilizoziona zinafaa na nikazileta kwenu kupitia kicha hiki"ni mkataba upi unafaa kumpata mtoto wa mkataba kutoka kwa wanawake hawa" hapa pia mlinishaur vizuz.Nilianza kuzifanyia kaz e-mail hiz kama ifuatavyo

1.safari yangu ya kwanza ilikua dodoma ambapo kwenyd majira ya saa tano nilionana na mgeni wangu hotelini,alikua ni bint mrembo aliyevalia suti nyeus na miwani ya jua akiambatana na mwanasheria wake,alinipokea vizur na baada ya kupata kifungua kinywa tulianza mazungumzo yetu

Tliongea mambo meng katika mkataba wetu na hata ivyo tulishindwa kukubaliana katika baadh ya mambo kama
-mimi kuacha kaz idara niliyopo
-mimi kuhamia dodoma kwasababu yeye hawez kuhama
-kufunga ndoa baada ya miez 6 kitu ambacho ni kigumu kwangu kwa mda huo na mambo mengind meng ambayo sintoweza kuyaandika yote.
Napenda kutumia fursa hii kukushukuru m**a**a kwa muda wako na ninaheshimu uamuz wako but hatutoweza kuwa pamoja

2.safar yangu ya pili ilikua katika jiji la mwanza (THE ROCK CITY),na mpaka kufikia majira ya saa moja jioni nilikutana na bint huyo mrembo kiumbo kuliko yule wa kwanza,ila kitu kimoja kilinifanya nisimpende kwasababu alikua amevaa ka-bucta kafupi mfano wa boxer tunazovaa wanaume hivyo kufanya sehemu kubwa ya mwili wake kuwa wazi,viatu alivaa high hills,alijipaka lipbam kwenye kope na lips,kucha za bandia mikononi n.k
kiujumla wanawake kama hawa kwangu binafsi huwa hawanivutii kwani na waona wanaonekana kama pepo/jini.(utanisamehe kwa kutumia neno hilo)
Tulikubaliana kila kitu na alikubali tuwe na mtoto bila malipo na alinielewa kuhusu mkataba wangu katika idara husika niliyokwisha kuielezea.Ni mtoto kutoka katika familia yenye uwezo na alisema anataka ndoa baada ya kujifungua ili aish na mwanamme anayezalisha,alisema anaweza kuudumi ujauzito na hatonitegemea kifedha
pamoja na mambo yote tuliyokubaliana lakini sikuona kama mwil wangu umeonyesha hisia zozote kwake hasa ni kutokana na mavaz yake japo ni bint mrembo,
natumia fursa hii kukushukuru kwa muda wako ila hatutoweza kuwa pamoja *e*m*

3.safari yangu ya tatu ni katika jiji la Dar es salaam na niliingia usiku ilipofika majira ya saa 12 mchana huu nilionana na mgeni wangu kwa mara ya kwanza na pind tulipogonganisha macho wote tulijikuta tukitabasam,kiukwel hisia zangu zilijionyesha kwa bint huyu kwani mnyama wangu alisimama ghafla hivyo niliingia maliwato/msalani kwaajili ya kumtuliza hasa ukitegemea nilikua nimevaa suruali ya kitambaa
Bint huyu alinipeleka mpaka kwenye chumba cha mkutano ndipo nilipo shtuka baada ya kuufungua mlango kwani nilikuta watu wamekaa kwenye meza kubwa mfumo wa pannel kama unapoingia kwenye interview tofaut na nilipokua nikizungumza na wale wengine.
Utambulisho ulianza na kulikua na mwanasheria,mchungaji,sister,kaka wa bint,boss wa bint na mfanyakaz mwenzake.

Katika mazungumzo yetu yaliyochukua saa 1 na nusu,walikubali niwe na bint huyu kama mchumba kabla ya kufunga nae ndoa baada ya mwaka mmoja(walinipa mda huu kwaajili ya kujipanga) na mambo yote yalikua kimaandishi,wakakagua vitambulisho vyangu vyote kuanzia pass ya kusafiria,ID ya chuo,kitambulisho cha kaz na vyote vikaambatanishwa kwenye mkataba,kiukwel hawa jamaa walikua sirious kama mimi nilivyokua.
Baada ya kusainishana nilibaki na bint kwa mda wa nusu saa tukiwa peke yetu na hapa ndipo nilipogundua uzur wa mwanadada huyu mda wote alikua akiangalia chini na kama akiniangalia aliachia tabasam ambalo lilitapakaa kwenye uso wake wote usiopakwa mkorogo kama yule wa mwanza,acha niwe waz blood pressure kwenye mnyama wangu ilikua kubwa sana so mda wote nilikunja nne kuuficha kwa wanaume mnafaham mtu ukivaa suruali ya kitambaa alafu jamaa aamke uone msala wake

Huyu ndio mwanamke atakaekua my one and only,ni kweli kua mke mwema anatoka kwa mungu ila hujui mtakutana nae wap,wengine msikitin,kanisani,chuoni,shuleni,mjini(posta),gengeni n.k ila mimi wa kwangu nimekutana nae kupitia jamii forum.
Boss wa mke wangu mtarajiwa kanipa cd yenye wimbo huu ambao mpaka sasa ndiyo ringtone kwenye cm Yangu
MUNGU IBARIKI JAMII FORUM,MUNGU WABARIKI WANA JAMII FORUM.
Ahsanteni

kama movie vile!

Mkuu umenikumbusha fiction za James H. Chase!
 
ukikua ndo utajua kuwa tuliyokuwa tunakushauri ni ya hivi hivi au ya ukweli,nakuone huruma sana mdogo wangu
kama kweli hilo unalosema lipo basi ngoja nikwambie umechemka wapi!
1.MKE WA KWELI HAPATIKANI KWA SHINIKIZO,uliza kaka zako na dada zako au hata sisi mama zako na baba zako kwa aliyeoana kwa mashinikizo iwe ya umri,kipato,wazazi,peer pressure walishuhudia nini kwenye ndoa zao
2.UNALOAMINI KUWA NDIO ISHARA YA TABIA NZURI KWA KUINAMA NA KUONA AIBU wala sio manake wapo watu ni wasanii mpaka King majuto mwenyewe anakaa chini
3.SIO KILA WAKATI WAZAZI HUWA SAHIHI KIMTAZAMO WALA KIMAONO HAIJALISHI WAMETUFANYIA MANGAPI KWENYE MAISHA YETU
4.TOKA THREAD YA KWANZA TAYARI ULIONYESHA UKO DESPERATE ,huyo binti lazima akupe wehu utakuja tu kuusema hapa
5.MAISHA NI ZAIDI YA KUWA NA FEDHA KUNA WATU WANA UKWASI MPAKA WANACHUKIA LAKINI YET NI MASIKINI SANA,hivyo bas kuwa na pesa,mali,kufanya kazi usalama wa taifa na mapompompo mengi wala hujayaona maisha bado
6.KUZAA WATOTO NA KUWALEA NI WAJIBU WA KILA MZAZI,hatuhitaji kulipwa fadhila ili kujua kuwa unasema ahsante!

hapa umeonyesha utu uuzima na umenipa point kadhaa tatizo siyo shinikizo ila matokeo ya lile shinikizo.kama ni mazur au mabaya
 
Back
Top Bottom