Hatima huwa haikimbiwi kamwe

Hatima huwa haikimbiwi kamwe

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,924
Reaction score
11,305
Nimejifunza haya kutoka kwa Polepole na Tundu Lissu hatima uliyo pangiwa na MUNGU huwezi kuikimbia Kuna watu huwa wanasema kwanini wasinyamaze

Hapana kila mtu Kuna namna kaumbwa Tundu Lissu na Polepole wa sasa starehe Yao haikuwa pesa Bali ni kuwa wakweli na wapinga uovu no matter what kitawatokea nawaombea maisha marefu na mapumziko mema kama mmoja wapo hayupo hai
 
Thibitisha Mungu yupo.
 
Hii nchi kuna mambo yanaumiza sana. Tunajiita kisiwa cha amani na tunawindana kama Burundi au DRC!! amani imepotelea wapi jamani? Alafu kila siku viongozi wa serikali na dini wanahubiri amani huku watu wanatekwa!!

Ambacho sielewi, CCM haina mpinzani uchaguzi huu hivyo hata Polepole au Lissu wakiwa huru wangepoteza nini? Why unamuua mtu kisa madaraka tu ambayo amebakiza miaka 5 kustaafu?

Aisee waTanganyika tunaona haya na tunaangalia tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom