Hatari: Majambazi yavamia na kupora raia!

Siku nyingine kukitokea tukio kama hilo pigeni simu polisi waambieni chadema wanaandamana halafu subiri uone watachukua muda gani kufika eneo la tukio
 
nyumba yangu ni jirani kabisa na ya hiyo nyumba iliyovamiwa lakini ilitolewa oda ya watu kutotoka nje na risasi zilikuwa zinarushwa kama njugu...ilikuwa na hatari sana! namshukuru Mungu hawakuifikia nyumba yangu. kwa jinsi nilivyokuwa muoga mbona ningejinyea!!!!!!!

Em rudiatena,wangeingia kwako ungefanya' jee!!?????.
 
Attachments

  • 1430021495546.jpg
    1430021495546.jpg
    68 KB · Views: 202
Hebu tupia picha za hao majambazi naona ilikuwa hatari sana.
 
nyumba yangu ni jirani kabisa na ya hiyo nyumba iliyovamiwa lakini ilitolewa oda ya watu kutotoka nje na risasi zilikuwa zinarushwa kama njugu...ilikuwa na hatari sana! namshukuru Mungu hawakuifikia nyumba yangu. kwa jinsi nilivyokuwa muoga mbona ningejinyea!!!!!!!

Sasa mlipokuwa ndani mgewasiliana na vyombo vya usalama wangewahi mkashirikiana now kudeal na hao majambazi
 
Majambazi nayo yamepigika sana mkuu, hata vitu vidogo sana wanaiba.
 
nyumba yangu ni jirani kabisa na ya hiyo nyumba iliyovamiwa lakini ilitolewa oda ya watu kutotoka nje na risasi zilikuwa zinarushwa kama njugu...ilikuwa na hatari sana! namshukuru Mungu hawakuifikia nyumba yangu. kwa jinsi nilivyokuwa muoga mbona ningejinyea!!!!!!!
Ukichukua hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipigwe kura siri kila wilaya mara 1 kwa mwezi tatizo litaisha.
 
Back
Top Bottom