Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Hakuna tofauti yoyote=binadamu hutawaliwa na hisia- Hisia ndio inakufanya ufurahie tendo

Safi Jack, me ningekuwa nalo nisingetoa aisee. Serikali wanasingizia yanasababisha HIV c kweli. Seme yana ashki ya hali ya juu, so walitaka kupunguza speed hiyo vijijini. Km ni uchafu ni swala la usafi tu.
 
..ndugu yangu nenda hospital ukakatwe govi lako...achana na tamaa za dunia hii...Kama ulikua hujui kutahiriwa kunapunguza maambukizi ya VVU kwa asilimia 60%....na hili ni kutokana na tafiti zilizokwisha kufanyika...

Hivyo basi achana na mila potofu nenda ukakatwe govi lako...na hii itakusaidia kupata mwanamke wako umpendae pia (ukiachana na kinga ya VVU)....Chagua kukumbatia mila potofu ama kukatwa govi na kumpata umpendae..na pia kujikinga na VVU...


>>soma references hizi chini kwa manufaa yako...

1.WHO | Male circumcision for HIV prevention
2.http://www.cdc.gov/hiv/prevention/research/malecircumcision/
3.Why Circumcision Lowers Risk of HIV | TIME.com

Tumia akiri yako kufikiri, co kila kitu hadi uangalie tafiti za wengine. Wangapi unao wafahamu wewe waliokufa kwa HIV walikuwa na magovi?
Unataka kusema ww umepona HIV kwakua huna govi?

Km ni usafi yeye atakuwa ni msafi hata kulisafisha mara sita kwa siku, je mtakuwa na lingine?
Sikuhizi watu wanatumia Condoms km issue ni wadudu kujificha watapita wapi?

Watafiti waliona HIV inaathiri vjjn ndo wao wakaja na huo mkono wa sweta, na sababu hapo ni ashki kuwa juu wala sio hizo walizotoa. Kwa vjjn zpo sababu nyingine nyingi km kutokua bze, ignorance, mila potofu n.k co govi pekee. Nmeona watu hata hapa town wana magovi toka kitambo na wake zao wanaenjoy na hawana HIV. HIV co tu walio tairiwa hata walio keketwa inang'oa
 
Ushaenda kumtoa uyo govinda au?
Njoo hospitalin kwetu hapa tena kwa wewe ni bure kabisaaa!
Jaman sisi wanaume tusikae na magovinda
 
mmmmh hebu ulizia athari za kuwa na govi halafu upime na mila zenu then utaamua....coz hata ukipata mwingine akiona utamshtua atahisi hauko sawa na hata kuelewa unless otherwise umchkue kijijini kwenu.....
 
Govi Ni Uchafu Pia Kwadunia YaSasa Wanawake Wasafi Wa Mjini Utawasikia Kwenye Bomba Govi Pia Ni Aibu Kwa Mwanaume Hata Mitume Wote Kuanzia Kwa Nabii Ibrahim Walitahiriwa So Fanya Uondoe Hilo Dubwana!
 
Pilitoni

Yaani tena ningekuwa mimi ndo mwenye yale mabasi ya Shabib Dar- Dom usingepanda kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Kiafya govi si zuri...ila ki asilimia wanaume wenye govi duniani ni wengi kuliko walio kata. Mfano Rwanda ni juzi kati uhamasishaji wa kutoa sweta umeanza maana huko mila zao hazisapoti utoaji wa govi. Ni rahisi sana kupata magonjwa ya zinaaa ukiwa na govi maana ngozi ya kichwa cha mboo inakuwa laini na rahisi kuchubuka. We nenda kalitoe Kwa afya yako ujiepushe na magonjwa.
 
Katoe mkuu yananyima uhuru sana hayo madude,ukikojoa lazima unawe,ukikaa muda mrefu bila kuoga linatoa harufu,ukipiga bao lazima uoshe ndio uwe huru,ukikojoa na wanaume wenzio unajifichaficha nk.nk.
 
Wewe umekiuka mila. Kama ni hivo lazima na wanawake wa kwenu huzuiliwa kujamiana na walotairiwa. Ungechukua hao mkuu...
 
Kata soksi hiyo bana mila za kufuga g*vi achana nazo wewe ruka hospitali fasta kakate

Tena Dodoma wiki nzima walikuwa wanakata bure kuanzia miaka mitano na kuendelea hajachelewa Mkuu aenda UMATI ipo Chamwino ya hapa mjini, loo Hata huyo Dada mchafu kumkubali!
 
Ha ha ha ha ha ha! Unaniabisha ndg yangu, sifa kubwa ya kuwa na koo Kwa mwanaume ni kuhimili mambo, sasa wewe umeshindwa himili hilo any way mila ni kitu kimoja na kutahiriwa ni jambo kingine nenda katoe hilo dubwana
 
nenda kwenu ambako mila zenu zinaruhusu...kachukue wadada wa huko
 
Back
Top Bottom