Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Dodoma.
Mwaka mmoja sasa nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana hapa Dodoma hakuwa na tatizo na kutotahiriwa. kwangu lakini ni wiki moja sasa amegoma kabisa kunipa,amedai nikatahiriwe kwanza ndio nije kula mzigo.

Mimi siwezi sababu mila za kwetu zinakataza. Kichwa kinauma na hapa nimechanganyikiwa najiuliza huyu akinikimbia nitapata wapi mwingine anayeweza kukubaliana na hali yangu,naomba.

Msaada wa mawazo jamani.



mkuu,

kumbuka huyo sio mke asikufanye utoe govi lako kama ulikuwa hujaamua, hyo mila sio mbaya kama utakuwa mtaalamu wakulirudisha nyuma nakujiswafii vizur!! fanya kile kitu ambacho moyo wako unapenda hali ya kuwa tu unachokisimamia hakikupi madhara,

angekuwa mke hapo sawa mngekubaliana!! tena usijisikie vibaya kabisaaa ukimtokea mdada unamwambia kabisa una govi kwakujiamini hataki apite zake .

assume umetoa halafu hamkuoana? hujaoa halafu unasema eti wek ngapi hujapewa ??!! kwahiyo mnafanya kila wakati kama mko na ndoa??
 
unyumba wanapeana watu walio ndani ya ndoa , hujaoa / hujaolewa hampeani unyumba zaidi ya uzinzi tu..

pia kata hilo govi
 
kaondoe huo uchafu unaufuga kama mbuzi,achana na mambo ya kabila ,miaka 26 una mkono wa sweta? haya ni maajabu
 
Back
Top Bottom