Katoe hilo sweta lako
Tafuta demu anaeendana na mila zenu za kutokutahiliwa.
Wacha weee....mtoto una msimamo weweeee.....
Nina good news inayokuhusu wewe, endelea tu na upuuzi wako.
tena nigekuwa mimi mwanamke hata kunigusa usigenigusa, kama unakumbatia mila zako, si ukanzioe hizo mila. vyoooo