Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

Sweta la nini? huyo demu hataki kuusikilizia utamu kwenye govi lako!
 
Tayari hata yeye hakubaliani na hali uliyo nayo, cha msingi ni kukata tu huo mfuko wa unga over..!
 
siku ile ulipowaambia wanawake wanaojipenda wasiolewe na wanaume wa Dar ulikua na maana gani..??? Dar hakuna magovi mkuu waache waje tu

He!he! he! he! he! hilu mother,aaaaaaaaaaaaa!

bora kuolewa na mwanaume mwenye govi lakni jasiri hata kama ikitokea vita atakuokoa wewe na watoto wako,
 
du mpaka no wapo mikono ya sweta jomba fanya ulitoe maana ukija dar ndo utadhalilika na mila zenu hizo but kama unataka kuendeleza mila za mikono ya sweta kakae iringa
 
Chagua moja kalitoe au baki nalo katafute mwingine
 
Pilitoni

Nenda ukakate hill govi unafuga no hela hz?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
..ndugu yangu nenda hospital ukakatwe govi lako...achana na tamaa za dunia hii...Kama ulikua hujui kutahiriwa kunapunguza maambukizi ya VVU kwa asilimia 60%....na hili ni kutokana na tafiti zilizokwisha kufanyika...Hivyo basi achana na mila potofu nenda ukakatwe govi lako...na hii itakusaidia kupata mwanamke wako umpendae pia (ukiachana na kinga ya VVU)....Chagua kukumbatia mila potofu ama kukatwa govi na kumpata umpendae..na pia kujikinga na VVU...


>>soma references hizi chini kwa manufaa yako...

1.WHO | Male circumcision for HIV prevention
2.http://www.cdc.gov/hiv/prevention/research/malecircumcision/
3.Why Circumcision Lowers Risk of HIV | TIME.com
 
tena nigekuwa mimi mwanamke hata kunigusa usigenigusa, kama unakumbatia mila zako, si ukanzioe hizo mila. vyoooo

Ww co mwanamke mbona unakuwa km na jazba kiasi hcho? Wapo wanamama wanaenjoy bana. Mlio wengi mmetahiliwa ukubwani, saiz mnataka kujifanya mnajua sana umuhimu wake.
 
Back
Top Bottom