Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,905
- 3,264
Inaelekea anahofu na uzalendo wako wakati wa uchakataji. Kifupi hakuamini kama utamuacha salama . Jichunguze hulka zako
Aidha, amewahi kufanyiwa hujuma kupitia style hiyo na hata kumfanya asimwamini mtu mwingine yeyote.
Shukuru kuwa hapendi ufirauni huo hata kama aliwahi kufanyiwa kwa bahati mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app