hataimaye uso kwa uso na mwana chit chat,je unajua ni nani?fatilia hapa

Status
Not open for further replies.
comedown CUTE,....kwan wewe unaitwa joyce?...narudia tena nimeanzisha uzi huu kichit chat,kwanini unakoplain nin kosa langu kwako....punguza jazba then ndo tutaelewana,i know nipo kichit chat na sijamsema mtu na jina hilo nimelitoa kichwan tu...so nin tatizo CUTE,mbona unanishambulia?...Mungu akusamehe hujui ulitendalo
naona ingekua calmdown ingekua mzuka kidogo au sio.....
 
nimekubali radhi yako na mm nakutaka radhi pia kutoka moyoni....cjapenda mana huyo joyce jucy anavoonekana kule fb ni kama yuko ktk mauzo na si wote wangejua kama unajoke kama madai yako yanavodai ndio mana ili kuepusha mgongano wa mawazo nimeweka link kabisa and am changing ze avatar...

hapana CUTE unakosea unapo zungumzia fb,zingatia kwamba toka mwanzo mwa uz hadi sasa sijataja CUTE wala member yoyote,sijataja fb,...kwanini wewe na si member mwingine?,malink ya nini CUTE,hapa ni majoks kwa kwenda mbele bas!bado najiuliza sababu ya wewe kunishambulia sipati jibu
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR nimeshakuelewa sana na najua sana tuko wapi ndio mana nimekuchachafya .....au hiyo radhi haijakufikia bado..hope itakufikia soon:flypig:

yaan nilisha data,hapa napanga kuja kukutolea posa then mambo yanaharibika.dah mpaka kizunguzungu...nahs mpaka kiuno kinauma
 
Ruhazwe mi Sikupondi. Kwanza kabisa hii Thread haijakaa kiutani kubwa zaidi Jukwaa la Jokes sio hili,unajua wazi kabisa JF kila siku watu wanazidi kuingia humu ndani na si wote wanajua kama ww umezoea Jokes mmoja wapo mm. CUTE asante sana kwa kuweka Link. Tuombe MOD wafute huu Uzi maana hauna la maana hapa Jf. OVER
 
Ushauri wangu kwenu wapendwa wangu Ruhazwe & CUTE , hapa mlipofika pafanyeni pametosha! Wala hapatapatikana la tija mkiendelea na hii ligi.
Naimani mmeniskiliza! Atakaerudisha neno kwa mwenzake baada ya hii comment atakua amedhihirisha mkorofi.
Labda aje na nje ya hayo yaliopita.
 
salute,...nipo na ka mchina siwez kukupa like
 
Ruhazwe mi Sikupondi. Kwanza kabisa hii Thread haijakaa kiutani kubwa zaidi Jukwaa la Jokes sio hili,unajua wazi kabisa JF kila siku watu wanazidi kuingia humu ndani na si wote wanajua kama ww umezoea Jokes mmoja wapo mm. CUTE asante sana kwa kuweka Link. Tuombe MOD wafute huu Uzi maana hauna la maana hapa Jf. OVER

karibu,chit chat watu mpaka wameoa na kila siku wanafumaniana,karbu utaona mengi haya ya leo mbona madogo but nimekusoma
 
Ruhazwe JR hata huyo aliyeoko huko fb sio wa kweli mana huyu dada ni msenegal.....alafu uwe na adabu mana huku ni kwa watu wastaarabu tu mana alhamdulilah sio mm kweli ingekua mimi kweli si ungekua umenianika huku...au hujui sheria za huku jf mana hakuna aliyekulazimisha kuweka photo zako za ukweli.....cjui we ni mtu wa aina gani mana hata kama ingekua ni mm kweli kuna sababu gani ya ww kuja kuniweka huku,,,,ok BTW nabadili avatar ila jirekebishe kijana

Jamani CUTE mbona hasira hivyo mrembo? Hujui ukikasirika unakuwa mbaya...embu cheka basi nione japo wako mwanya...!!!
 
Last edited by a moderator:
karibu,chit chat watu mpaka wameoa na kila siku wanafumaniana,karbu utaona mengi haya ya leo mbona madogo but nimekusoma

Ruhazwe Jr & Cute miamko vipi poa? Ni siku mpya tumeamka poa! Tuianze with new agenda!
Kwanza mitaani kwetu kote kumetulia na tumezidi kuheshimiana husussan baada ya Mnyama wa Msimbazi Mzee Lion kuchukua kipondo kama alichokula Mtani wake Jangwani! Upepo shwaari.
Nawakaribisha mje muone mashetani wekundu wanacheza na mashetani wa buruu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom