hataimaye uso kwa uso na mwana chit chat,je unajua ni nani?fatilia hapa

Status
Not open for further replies.

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
[B]habarini za Ijumapili?
nimekua na hamu ya kuwajua wana chit chat kwa sura na majina yao halisi,hii ni baada ya mimi mwenyewe kuwa wazi kwa ID na hata kwa Avatar.Lakini niseme tu safari yangu hii imeenza vizuri mara baada ya kuanza kwa kukutana na mwana dada mlimbwende na mashuhuri hapa Jf;Nita kuwa nafanya kama ifutavyo,ninamjua menber kwa majina yake full alafu nakuja hapa naelezea majina yake halisi halafu wewe mwana chiti chachat utanitajia ID yake zikipita post 15 natoa jibu na kama kutakua na mtu aliye shinda anazawadiwa zawadi ya vocha ya shilingi elfu 5.
mshindi atakuwa na sifa zifuatazo

    • ni member wa jf si chini ya miezi 6 toka ajiunge na jf
    • Ni mdau wa mara kwa mara hapa chit chat

Kwa leo naanza na mwanadada,mlimbwende na mashuhuli hapa Jf.Detail zake ni hizi zifuatazo:-
    • Jina lake halisi ni JOYCE JUCY
    • Ni mkazi wa DSM
    • yupo single
    • Alizaliwa 05feb
    • ID yake ni...............(itatajwa baada ya mshindi kupatikana (post ya 16)

    naombeni jibu,mshindi wa kwanza kujinyakulia vocha ya elfu 5,vigezo na mashart kuzingatiwa
[/B]

NB:
Vocha itatumwa number kwa PM
 
Kweli milegezo na mashati yamezingatiwa... kuwa makini na ajira yako mpya mkurugenzi so ningeomba kama ulivyosema vgezo na mashart kuzingatiwa hapo mwanzo umeandika vicha je ni sahii?..... ok! huyo ni smile
 
nashukuru kwa malekebisho na nimesahihisha but sorry your not unqualified.huja timiza vigezo,lakini kumjua ni nani Stay tune
 
[B]habarini za Ijumapili?
nimekua na hamu ya kuwajua wana chit chat kwa sura na majina yao halisi,hii ni baada ya mimi mwenyewe kuwa wazi kwa ID na hata kwa Avatar.Lakini niseme tu safari yangu hii imeenza vizuri mara baada ya kuanza kwa kukutana na mwana dada mlimbwende na mashuhuri hapa Jf;Nita kuwa nafanya kama ifutavyo,ninamjua menber kwa majina yake full alafu nakuja hapa naelezea majina yake halisi halafu wewe mwana chiti chachat utanitajia ID yake zikipita post 15 natoa jibu na kama kutakua na mtu aliye shinda anazawadiwa zawadi ya vocha ya shilingi elfu 5.
mshindi atakuwa na sifa zifuatazo

    • ni member wa jf si chini ya miezi 6 toka ajiunge na jf
    • Ni mdau wa mara kwa mara hapa chit chat

Kwa leo naanza na mwanadada,mlimbwende na mashuhuli hapa Jf.Detail zake ni hizi zifuatazo:-
    • Jina lake halisi ni JOYCE JUCY
    • Ni mkazi wa DSM
    • yupo single
    • Alizaliwa 05feb
    • ID yake ni...............(itatajwa baada ya mshindi kupatikana (post ya 16)

  • naombeni jibu,mshindi wa kwanza kujinyakulia vocha ya elfu 5,vigezo na mashart kuzingatiwa
[/B]

NB:
Vocha itatumwa number kwa PM
I am Arranging to Meet Up with a Girl in Foreign Country
 
Ruhazwe JR hata huyo aliyeoko huko fb sio wa kweli mana huyu dada ni msenegal.....alafu uwe na adabu mana huku ni kwa watu wastaarabu tu mana alhamdulilah sio mm kweli ingekua mimi kweli si ungekua umenianika huku...au hujui sheria za huku jf mana hakuna aliyekulazimisha kuweka photo zako za ukweli.....cjui we ni mtu wa aina gani mana hata kama ingekua ni mm kweli kuna sababu gani ya ww kuja kuniweka huku,,,,ok BTW nabadili avatar ila jirekebishe kijana
 
Yesterday I paid 200 US Dollars to apply for a six-month Visa to Ghana. Immediately after I receive it, I will then pay another 556 Dollars for an Air Nigeria Flight from Dakar, Senegal to Accra, Ghana. It will cost me 756 Dollars to meet Bah, in Ghana. Should I be scared? I have met her three times before, I am 95 percent sure she will be meeting me in Elubo, Ghana.

Air Nigeria? I am not lying; I will probably fly on Air Nigeria to Ghana.

I hop around the planet with ease, this is a cakewalk for me, but a few minutes ago, I had a pause, and was empathizing with all the men or women of the world who meet people online. Then slowly over time, one of persons says,
"Come visit me?"

People spend thousands of dollars to meet up with people they do not really know, and then when the situation turns out bad, they return home, and never admit they made a major mistake. This is the same as people who invest in stocks; they only explain their successes, you seldom here about their failure.

I worry about Facebook.com, there is no privacy, it is dangerous, and I can learn anything about a person. Facebook.com is the perfect way for people to open doors; pretend they are your friend and then steal or cheat you out of lots of money. I have made a standing policy, if someone wants to be my friend, I must instantly recognize the name, or I refuse to friend him or her.

177-sexy-senegal-girl.jpg

This beautiful and sexy Senegal girl wrote me two days ago using the CouchSurfing.com private message system. It appears she has been a member for two days, I thought to myself,
"That is a great photo?"

How does a sexy Dakar, Senegal girl know I am here, this just feels too good to be real.

SHE WROTE:

Hello Dear,
My name is (deleted name) i am a single girl. I saw your profile today in this siteand i stopped to take a very good look at it. I want you to know that i will be interested to know you better because you sounded very sweet in your profile and i will like us to become friends and know each other the more. Here is my email address (test@yahoo.co.uk) send me an email today please!
Yours forever,
.
(Remember that distance,age or collour does not matter in a real relationship but love matters a lot). I am waiting for your reply now!
ukitaka zaidi link hiyo hapo juu nimekuwekea Ruhazwe JR mana umeniuliza pm we nimekujibu fresh tu kua sio mm umeona ulete huku......haya umeridhika sasa ....she is from senegal
 
Last edited by a moderator:
CUTE kwanza unitake radhi na pili nikutake radhi,then came back with chitchat stuation,kiukwel umenitus,am in joks stuetion kama nilivyozoea chitchat,hata hivyo ktk joks hakuna ambapo nimemtaja member yoyote, CUTE sipend ufike hata ulipo sasa,naziju jf rules,ni kwel niliku-pm nikakuliza kuhusu hili,baada ya kutokua ni wewe that way nimechukua kama joks,kama ingekua kweli wala nisinge anzisha thread hii.ktk wastarab hap Jf am number 1,siwezi kukurudishia kashfa kam ulivyofanya,siwez na sitoweza,ILA JUA UMENIKOSEA SANA TENA SANA.MUNGU AKUSAMEHE nasema hili toka moyo
 
nimekubali radhi yako na mm nakutaka radhi pia kutoka moyoni....cjapenda mana huyo joyce jucy anavoonekana kule fb ni kama yuko ktk mauzo na si wote wangejua kama unajoke kama madai yako yanavodai ndio mana ili kuepusha mgongano wa mawazo nimeweka link kabisa and am changing ze avatar...
 
soma link hiyo alafu next time uache kukurupuka jamani ....wakaka hawakurupukagi namna hiyo

comedown CUTE,....kwan wewe unaitwa joyce?...narudia tena nimeanzisha uzi huu kichit chat,kwanini unakoplain nin kosa langu kwako....punguza jazba then ndo tutaelewana,i know nipo kichit chat na sijamsema mtu na jina hilo nimelitoa kichwan tu...so nin tatizo CUTE,mbona unanishambulia?...Mungu akusamehe hujui ulitendalo
 
Ruhazwe JR nimeshakuelewa sana na najua sana tuko wapi ndio mana nimekuchachafya .....au hiyo radhi haijakufikia bado..hope itakufikia soon:flypig:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom