BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,917
Naomba nipite kimya kabla sijazua kizaa zaaa!
Wapenda pesa utawajua tuu!
Naomba nipite kimya kabla sijazua kizaa zaaa!
Naomba nipite kimya kabla sijazua kizaa zaaa!
tatizo lililopo ni mwanamke kuamini kuwa yeye ndo mtu wa kufurahishwa tu(tena vitu vya kifahari) siku zote ,nawakumbusha wanawake woteeeeee duniani LOVE is 50/50 percent ikiegemea upande mmoja siku akikuchoka zigo la misumari lazima atalitua tu,We love those who add value to our life haiwezekani unarud home mtu kanuna.......,life expenses zote unagharamia wewe,furaha nayo umeinunua kutoka kwake kwa mahari,vizawadi (majumba na magari) etc bado ulazimishe upendo?you are not such special girl who are you by the way?Lazima upokonywe dhahabu yako
Kitu gani hicho mkuu...
mmh hili linanigusa ngoja nijirekebishe haraka iwezekanavyo
Jamani wanaume wengine hawawezi kuwa romantic haswa ile ya kitamthilia. Labda wajilazimishe/wa-fake.
Muhimu ni mwanamke kuwa muelewa (ujue namna mwenzio anavyochukulia kuwa romantic maana hata kurudi safarini na gunia la mkaa, kukuambia usichelewe kurudi nyumbani, kushinda nyumbani na wewe ni kuwa romantic for some.), kuridhika (kubali/furahia unayofanyiwa), ku-appreciate na ku-acknowledge jitihada za mume/mpenzi wake. Tatizo wanawake wakati mwingine wanaacha kuwa reasonable na kudemand mambo ya ajabu ajabu kwa mwanaume in the name of being romantic na ndio maana wengi wanaonekana kufeli. Ila ukweli ni kwamba wanawake ndio wanaofeli kwenye kuridhika, kuwa waelewa, ku-appreciate jitihada za wanaume n.k.
Manhood.

umeua sana...........ni zaidi ya ukweliJamani wanaume wengine hawawezi kuwa romantic haswa ile ya kitamthilia. Labda wajilazimishe/wa-fake.
Muhimu ni mwanamke kuwa muelewa (ujue namna mwenzio anavyochukulia kuwa romantic maana hata kurudi safarini na gunia la mkaa, kukuambia usichelewe kurudi nyumbani, kushinda nyumbani na wewe ni kuwa romantic for some.), kuridhika (kubali/furahia unayofanyiwa), ku-appreciate na ku-acknowledge jitihada za mume/mpenzi wake. Tatizo wanawake wakati mwingine wanaacha kuwa reasonable na kudemand mambo ya ajabu ajabu kwa mwanaume in the name of being romantic na ndio maana wengi wanaonekana kufeli. Ila ukweli ni kwamba wanawake ndio wanaofeli kwenye kuridhika, kuwa waelewa, ku-appreciate jitihada za wanaume n.k.
Nimewahi kukutana na tajiri mkubwa sana akilalamika kuwa mkewe hana furaha. Akasema amempa kila kitu kuliko anavyotegemea! Amemjengea nyumba ya kifahari, amemnunulia magari, yeye si mlevi, aliapa kuwa mwaminifu kwa mkewe, lakini yote haya hayakufungua furaha ya mkewe! Ukizungumza kwenye simu na mkewe, utaisikia sauti iliyobeba mengi, ukikutana nae uso kwa uso, ni binti mdogo lakini uzuri wake unapungua upesi, mumewe alikuwa akisikitika sana na kujiuliza kwa nini mkewe yuko hivyo! Anapenda mkewe awe mwenye raha wakati wote. Kwa siku 23 za mawasiliano yangu na mwanamke huyo nilijifunza mengi, nilijua alichokosa mwanamke huyu! Nikaona linaweza kuwasaidia wanaume wengine
Wanaume tunaishi na ukweli kuwa wanawake ni viumbe wasioeleweka. Ukiwapa kile watadai cha huku. Leo unaweza kumkuta yupo ktk hali ile keshokutwa nyingine! Leo atalia anataka mwanaume mwenye pesa sana kesho akimpata atahisi kuna kitu anakikosa mahali pengine! Ndivyo walivyo, lakini mbali na yote ipo Kiu ya kila mwanamke, haijalishi anajibaraguza vipi. Kiu ya romantic Man
Wanaume wanapomfuatilia kwa mara ya kwanza mwanamke, huwa romantic sana, kwa maneno na lugha ya miili yao, hupambana usiku na mchana kwa maneno matamu yenye kuyeyusha barafu na kuugeuza moyo mgumu uwe laini
Lakini kanuni hiyo hupotea mwanamke awapo ktk himaya yao! Hudumisha kile kilichojengeka sana ktk jamii kuwa mwanamke ni wa kutimiza matakwa ya kukutana kimwili tu na si vinginevyo. Kwa wanaume being romantic sio jambo la lazima linaweza kuwepo au lisiwepo, kwa mwanamke hata mpenda pesa kupita kiasi anahitaji romantic Man.
Mfanye ajisikie anahitajika kwako, mfanye ajione anapewa shukrani hasa katika mambo madogo madogo! Karibu hitaji la mwanaume kutaka kukutana kimwili na mwanamke ni sawa na la mwanamke kutaka kuhakikishiwa usalama wa kihisia
Kuna wakati mwanamke anatarajia mpenzi wake afanye jambo fulani ambalo atafanyiwa bila kuomba lisipofanyika basi humpotezea kabisa hamu ya kujiona anathaminiwa. Dunia ya wanawake inawakimbilia sana wanaume wenye hali za aina hii
Mf. Rahisi huweza ikatokea mwanamke akakataa kitu ambacho hakika anakitaka. Mwanaume akimsikiliza na kushika njia yake basi mwanamke atajihisi kuumia. Kwa nini? Kwa sababu tu anajiona hana mvuto tena kama uliokuvuta mwanzoni
Nilifurahi sana kupitia maelezo ya mwanamama Elizabeth Arison ktk kitabu chake cha Being a woman aliposema kuwa '...Romantic love makes a woman's whole existence...'
YAFUATAYO YAFANYIKE PANDE ZOTE ZA MWANAUME NA MWANAMKE
- Wanawake wajifunze kusema mahitaji yao ya kihisia kuliko kuumia ndani kwa ndani mf. Mpenzi wako kakuambia leo mtakula chakula cha ikulu, muda ukifika unagoma ukitaka kuthibitisha u miss hard to get, mwanaume akijigeuza akalala zake, si kosa lake bali amekusikiliza. Be open
- Mwanaume mkumbushe kuwa unampenda hata kwa text au pale umbali unapowatenganisha. Fanya mazuri asiyoyategemea, toa zawadi ya kushangaza! Zawadi ya kufufua hisia zake, usisahau wanawake wengine wamefundishwa kuishi kwa aibu. Wameambiwa kuficha hisia zao ndio kuwa mke mwema. Kumbe sivyo,make her feel wanted
- Wanawake punguzeni kulinganisha mapenzi ya tamthiliya, care, romansi wanazoonyesha huko na kutaka upewe kwa kiwango kile kile. Si mnataka wanaume wenye pesa? Wenye kuhangaika fedha za kutunza familia? Huo muda anautoa wapi wa kutazama romansi, ktk hili unaweza kucheza kete zako vizuri kumfanya mwanaume awe romantic na anaejali kadri ya mapenzi yako. Ukiishi kwa matarajio makubwa ktk hili basi utaumia sana
- Badilisheni mandhari ya ndani na mara chache mnachagua kulala hata mbali na nyumbani. Unakuta mf. Kitanda kimetazama upande wa kusini tangu uchumba mpaka mtoto wa 7 ?? Mitindo ya ulalaji ni mitatu tu juu,chini na pembeni si zaidi !! Ukija kwenye lugha inayotumika ni kama kambi ya jeshi Ruvu !
A romantic Man ni hitaji la mwanamke hata yule mpenda pesa kuliko uhai wako!
Make love A desirable World of your own
itabidi tu tuwavumilie hivo hivo hata kama hampo romantic.
mmmh naomba tu nisifanyiwe haya make nitanenepa sana afu ntakuwa mvutoless
cc: asakuta same pita ujionee mwaya
Eti best na wewe unataka romantic man?????