Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

Romance on an empty stomach? romantic bila uwezo wa matunzo mengine? mh.. sijui!
 
Kwa upande wangu mwanamume anayeweza kunotice furaha yangu imetoweka na akajaribu kutafuta njia ya kutatua tatizo. That to me is so romantic.
Je wewe ukinote naye furaha yake imetoweka,unajitahidi kuirejesha?
coz,kuna wenzenu mme akikosa arejeshe amani,mke akikosea pia anategemea mme ndo arejeshe amani
hapo pamekaa vipi?
 
Asante kwa kusema ukweli,kila lakheri.

Nimebarikiwa mume mwema sana ila mimi sasa loh majanga yani aliyoongea kaka mwekundu hapo juu kama kaniona vile. Yani nisipofanya mabadiliko cku akichoka ntaisoma namba,
 
Jamani nani anabisha ukweli kwamba pesa ndiyo kila kitu?

Wewe ambaye hauna pesa ndo unaona kwamba pesa ndo kila kitu walio nazo wanaona pesa si kila kitu..kwa kifupi kila asie kua na kitu flani anaona akipata kitu flani atakua kwenye hali flani ukweli unabaki binadamu hatutosheki wala haturidhiki hii ni sababu tunaendekeza miili kwa tamaa or whatever..!!
 
Nimebarikiwa mume mwema sana ila mimi sasa loh majanga yani aliyoongea kaka mwekundu hapo juu kama kaniona vile. Yani nisipofanya mabadiliko cku akichoka ntaisoma namba,
Binafsi nakupongeza,na nathubutu kusema na wewe ni mke mwema,kwani mke/mme mwema ni yule anayegundua udhaifu wake na kujirekebisha. kwa hiyo chukua hatua usisubiri kuisoma namba,wako fisi wanafuata nyuma ukidondosha wanadaka fasta.
 
Back
Top Bottom