Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

Himidini upo sawa kabisa awa viumbe wenzetu wakati mwingine ni ngumu sana kuwaelewa na ukizingatia waliumbwa kama wasaidizi wetu wa karibu katika maisha basi nazani wana uwezo mkubwa wa kuvumilia na kupretend kua na mwanamme wa aina yeyote tu ata kama hakubaliani naye moyoni mbaya zaidi ni ata kama utamfanyia kila kitu na kua romantic vby mno bado anaweza kua kama unatwanga maji kwenye kinu hasione faida yako yeyote ile lakini na nazani la maana ni kuomba Mungu tu aweze kukupatia mwanga labda unaweza kuwaelewa kdg tofauti na hapo ni mtihani.
 
Je wewe ukinote naye furaha yake imetoweka,unajitahidi kuirejesha?
coz,kuna wenzenu mme akikosa arejeshe amani,mke akikosea pia anategemea mme ndo arejeshe amani
hapo pamekaa vipi?

Katika maisha yangu mara nyingi sana, no let me say mara zote the woman ends up asking for forgiveness and try to make things right hata kama yeye hajakosa. Wanawake ndio wanageuzwa excuse au visababishi ya makosa ya wenzi wao. Na kama nitajipata katika situation ambayo nitakuwa nimesababisha huzuni ya mwenzi wangu, nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kurejesha furaha yake.
 
Pesa ni maneno!!! Ila wanawake bana bila vile vimaneno vya kuchombeza walahi raha hapati!!! Hivi hujiulizi ni kwa nini wake za matajiri wengi wanakuwa na mabwana???? Mume yuko busy kutafuta pesa na hakuna prime time for his wife!!! Wanawake maneno matamu!!!
 
Being romantic is doing that extra thing that doesnt change the terms of a relationship but can in a way make things better. If my husband is not romantic i wont leave him, i will instead accept him as he is and live with it.

Hiki ni kisukuma?
Maana sijaelewa kabisaaaa?
 
Love is something you cherish,money is just paper.none thing can buy love unless kwa machangu wa kawaida mfano,Buguruni; its not real love.when you have a loved one don't let anything get in the way of tearing the love apart.

Of course we all want 100 milioni shilingi,but would you trade it for love? If you really loved someone you wouldn't trade the love in for nothing.So to come to my conclusion money can't buy love.

Ila si lazima at me and give me your opinion! teh teh umdhaniae ndie aliye ,kumbe ndie sie alie.....
 
Hiki ni kisukuma?
Maana sijaelewa kabisaaaa?

Sio Kisukuma ni kimaasai kisukuma ingekuwa hivi.

Kuwa romatic ni kufanya kile kitu cha ziada ambacho hakitabadilisha terms za uhusiano wetu lakini kitaboresha. Na kama mume wangu sio romantic siwezi muacha kwa sababu hiyo tu nitajitahidi kukubaliana na hali halisi na kuishi hivyo.
 
Ewaaaaaa!!!!!!

Sasa hapo tupo pamoja

Unatumia soda gani?
 
ka diet coke baridii kananitosha

images
 
Love is something you cherish,money is just paper.none thing can buy love unless kwa machangu wa kawaida mfano,Buguruni; its not real love.when you have a loved one don't let anything get in the way of tearing the love apart.

Of course we all want 100 milioni shilingi,but would you trade it for love? If you really loved someone you wouldn't trade the love in for nothing.So to come to my conclusion money can't buy love.

Thanx 4this......
 
Binafsi nakupongeza,na nathubutu kusema na wewe ni mke mwema,kwani mke/mme mwema ni yule anayegundua udhaifu wake na kujirekebisha. kwa hiyo chukua hatua usisubiri kuisoma namba,wako fisi wanafuata nyuma ukidondosha wanadaka fasta.

uuuwwiii........ ukweli mtupu
 
Inaonyesha unaogopa hata kuwagusa bcoz umeshajijengea kutoamini kuwa wengi wao wanapenda sana pesa na wenye pesa zao je imekaaje......
Siko 2% aiseee

Uko wapi filomena.....unaweza kukataa lkn huo ndo ukweli. Enzi za mapenzi ya kweli zinazidi kupotea, sasa mapenzi ya pesa yanazidi kuwa ndo mpango mzima
 
Nabisha,

kipo ambacho kwangu nakiona ni zaidi ya pesa,naweza nikatafuta pesa kwa akili na mwili wangu nikaipata ila kipo kimoja siwezi kukipata kutoka kwangu and that's more than money to me.

This is the diffinition of an in depend end woman
Dada unajielewa sana hongera na mungu akubariki
 
Nimebarikiwa mume mwema sana ila mimi sasa loh majanga yani aliyoongea kaka mwekundu hapo juu kama kaniona vile. Yani nisipofanya mabadiliko cku akichoka ntaisoma namba,

Mpaka umeongea hvyo tu ushajua unataka mabadiliko na naamini utafanikiwa
 
Back
Top Bottom