Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

Love is something you cherish,money is just paper.none thing can buy love unless kwa machangu wa kawaida mfano,Buguruni; its not real love.when you have a loved one don't let anything get in the way of tearing the love apart.

Of course we all want 100 milioni shilingi,but would you trade it for love? If you really loved someone you wouldn't trade the love in for nothing.So to come to my conclusion money can't buy love.

Ila si lazima at me and give me your opinion! teh teh umdhaniae ndie aliye ,kumbe ndie sie alie.....

Money ain't everything
 
Asante Lizzy kwa bandiko lako lililojaa uhaliasia mtupu.
Lazima tuwe wahalisia;
Kuna "romance" ya Kikurya, Kihindi, Kizungu, Kidigo, Kisukuma n.k
Kuna "romance" za msomi na kihiyo.
Kuna "romance" za mjini na shamba
Kuna "romance" za masikini na tajiri
Kuna "romance" za kileo na kizamani

Huwezi kupata zote, chagua uipendayo kisha ridhika nayo.

I take this as a defence....be romantic ayo ya aina yataeleweka tu
 
Last edited by a moderator:
Neno lina mantinki kiasi chake...ILA for now and later on PESA WILL TAKE THE LEAD,mana been unhappy na pesa haiukuwepo...si bora nipate kimoja..C.RAP za kupendana kweli zitafata badae,
 
Neno lina mantinki kiasi chake...ILA for now and later on PESA WILL TAKE THE LEAD,mana been unhappy na pesa haiukuwepo...si bora nipate kimoja..C.RAP za kupendana kweli zitafata badae,

^^
Kwa maneno rahisi ni kuwa ukiwekewa pesa pembeni ya kitanda, haina haja ya mwanaume romantic eti?
^^
 
Tatizo ni tafsiri ya romance miongoni mwa wapenzi.
Inawezekana wewe mambo ya kwenye tamthilia ndio mahaba kwako wakati mie mzaramo kukununulia kanga ndio kuonyesha mahaba yangu kwako.
I take this as a defence....be romantic ayo ya aina yataeleweka tu
 
tatizo lililopo ni mwanamke kuamini kuwa yeye ndo mtu wa kufurahishwa tu(tena vitu vya kifahari) siku zote ,nawakumbusha wanawake woteeeeee duniani LOVE is 50/50 percent ikiegemea upande mmoja siku akikuchoka zigo la misumari lazima atalitua tu,We love those who add value to our life haiwezekani unarud home mtu kanuna.......,life expenses zote unagharamia wewe,furaha nayo umeinunua kutoka kwake kwa mahari,vizawadi (majumba na magari) etc bado ulazimishe upendo?you are not such special girl who are you by the way?Lazima upokonywe dhahabu yako
hivi mimi nilikuwa wapi hii post sikuiona??,yaani hapa mkuu umemaliza kila kitu ila pia to some extent wanamume pia tuna makosa yetu na tunabadilika kuwa romantic(kama alivyoeleza mtoa mada) pindi tu tunapompata au kumuweka mwanamke katika himaya yetu jaribu kufuatilia hili mimi nimejiridhisha nalo,unaweza kumfuatilia mwanamke hata miezi mitatu ukawa romantic kweli ila ukifanikiwa kumlala tu being romantic inapungua na nahisi hii inatoke aautomatic kwa wanaume,na hapa wanawake wanapaswa kuelewa ila as the time goes on mapenzi yakikolea being romantic inarudi na uwepo katika mahusiano yenu
 
Tatizo ni tafsiri ya romance miongoni mwa wapenzi.
Inawezekana wewe mambo ya kwenye tamthilia ndio mahaba kwako wakati mie mzaramo kukununulia kanga ndio kuonyesha mahaba yangu kwako.

Unadhani mi ni wa chocolate?khanga ntafurah....kinachotakiwa ni uwe romantic
 
Back
Top Bottom