Hata Rais akiwa kanisani hawezi kuchangamana na waumini wengine?

Wajenge kanisa dogo na msikiti IKULU, ili wakuu wa nchi wasali huko.
 
Bado najiuliza kwanini kanisa kubwa kama hili kuwa na waumini kiduchu kwa siku ya leo? Naona wengi ni usalama, je, waumini wa kawaida wamezuiliwa kuingia?

Ni mwendelezo wa kufifisha mwenendo wa uchaguzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki katika misa katika parokia hii toka ahamkie rasmi Dodoma
 
Sio kweli Mkuu
Mimi nakosoa sana t,sema sikosoi kwa kufuata mkumbo
Umeongea point' Ila tatizo lako sijawahi kuona ukikosoa, we ni wa kusifia kila kitu. Yaani kila kitu unasifia. Inawezekana vipi hujawahi kuona upungufu au kosa ukakosoa kwa hekima?
 
Africa watu wakisha kuwa viongozi nadhani muda wote wanawaza Mabaya. Ukiona Picha za Raisi akiwa kanisani unajiuliza anafuata nini Kanisani?

Kwa nini aende kanisani? Kama kuanzia Viongozi wa kanisa mpaka wamaumini wenzake hawaamini?

Kwa nini hadi nyumba ya Ibada ujikweze?

Kuna siku nilikuwa naangalia Television ya Taifa ya Burundi sasa Rais Nkurunziza alikuwa kwenye Mahubiri na yeye ndio alikuwa anaendesha Mahubiri yale kilicho nishangaza ni ulinzi. Yaani wakati anaongoza Maombi huku kuna askari wako na mitutu kabisa wamejiandaa. Nilifikiria sana.

Ulinzi kwa nini usiimarishwe nje tu?
FB_IMG_1574608910426.jpeg
FB_IMG_1574608871890.jpeg
FB_IMG_1574599098952.jpeg
 
Ulinzi ni lazima tatizo ni pale unapokuwa Kero kwa waumini wengine.

Umewahi kumwona Gwajima anavyohubiri kanisani kwake, walinzi ni kama wanakwaya wake...

Acha alindwe tu.!
 
Back
Top Bottom