hata Mh. Mbowe naye hakuwa nyuma!!!!!

hata Mh. Mbowe naye hakuwa nyuma!!!!!

hakuna ugonjwa usiotibika!ugonjwa uitwao NDUI uliua watu theluthi moja duniani hatimae chanjo ikapatikana angalia kwenye bega lako kuna alama kama ya kidonda roundish hiyo ni chanjo ya ndui kila mtanzania anayo!
hiyo ni chanjo si tiba mkuu wangu.ugua ndui leo hii uone kama kuna dawa.kwa kuongezea ndui haiko kwenye kundi la magonjwa sugu.
 
nini maana ya chronic disease?umeshasikia mtu mwenye kisukar,kansa au asthma amepona?dawa za magonjwa sugu hupunguza makali ya ugonjwa na sio kuponyesha.ukilitambua hili utakubaliana nami kuwa huyu pastor ni chogi.

Wewe ndo chogi kwa nikuonavyo mimi. hakuna ugonjwa mkubwa kwake yeye muweza.
 
kuna tetesi kuwa helcopter ya mh Freeman Mbowe imeonekana ikitua maeneo ya Loliondo kwa yule pastor anayetibu magonjwa sugu.mwenye habari zaidi atujuze..

Tatizo liko wapi?, umekwishaelezwa kuwa what lead a cure is just Imani. Hata kama amekwenda ni sawa. Yeye ana amini Mungu, kama ambavyo jamaa zako wanaamini kinga ya kwenu Bagamoyo. Hao jamaa zako waliwatajirisha masangoma wa mlingotini mbona hukuwahi kuweka thread hapa. Au hujui hzo hela wanazofsadi wanawapelekea sangoma, jua sasa.
 
mkuu hata dawa za marekani hutokana na mitishamba kwa hiyo sio issue sana ,lakini kusema hii dawa inatibu magonjwa sugu yote halafu lazima upewe na pastor mwenyewe huku hakuna uthibitisho wa kisayansi wa mtu yoyote aliyepona ni uzezeta usio na kifani katika karne hii ya 21.
Endelea kusubiri uthibitisho wa kisayansi! Wenzako wanaenda, wanakunywa dawa, wanarudi wazima
 
kama ambavyo jamaa zako wanaamini kinga ya kwenu Bagamoyo. Hao jamaa zako waliwatajirisha masangoma wa mlingotini mbona hukuwahi kuweka thread hapa. Au hujui hzo hela wanazofsadi wanawapelekea sangoma, jua sasa.
jamaa zangu wapi hao?mimi siwakubali viongozi wote wanaoamini kwenye tiba za ajabu ajabu.
Inashangaza viongozi hawa hawa wanamwambia mama mjamzito ajifungulie hospitali na sio kwa mganga wa jadi lakini wao(viongozi) ndio wateja wakubwa wa sangoma.it doesn't make sense!sioni haja ya kuwa na dispensary kila kata wakati tuna wataalamu kama hawa wa loliondo.
 
Kwani viongozi hawaumwi? Kwani wao si binadam?
 
Back
Top Bottom