hata Mh. Mbowe naye hakuwa nyuma!!!!!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
kuna tetesi kuwa helcopter ya mh Freeman Mbowe imeonekana ikitua maeneo ya Loliondo kwa yule pastor anayetibu magonjwa sugu.mwenye habari zaidi atujuze..
 
Is Mbowe Immune to Deseases? Mbona Nasikia hata Mkulu aka Muungwana aka H.C Dr. Kikwete naye alipeleka yale Maradhi yake Sugu ya Kuanguka
 
yani kama JK kaingizwa cha kike na mbowe naye hovyohivyo?nakata tamaa sana na hawa viongozi wetu.
 
Guys Kamanda Anga Mh F.A Mbowe hana chopper Jf acheni uzushi kwani Chopper hiyo namba gani?ulijuaje ni ya Kamanda wa Anga wa CDM?
 
mshkaji una bahati mbaya sana ku-stigmatise watu wakati hujafa hujaumbika

endelea kujilaani

stigma iko wapi hapa? huu ni upupu inashangaza kama viongozi wetu bado hawatambui kuna magonjwa sugu ambayo hayatibiki,leo hii wao ndio wanakua wakwanza kudanganywa na kupotoshwa, huuu ni uzembe.nakuhakikishia kutakuwa na wimbi kubwa la wagonjwa watakaozidiwa kwa kuacha dawa za hospitali.
 
Hakuna Ugonjwa Usitibika
 
Hakuna Ugonjwa Usitibika
nini maana ya chronic disease?umeshasikia mtu mwenye kisukar,kansa au asthma amepona?dawa za magonjwa sugu hupunguza makali ya ugonjwa na sio kuponyesha.ukilitambua hili utakubaliana nami kuwa huyu pastor ni chogi.
 
Ungekuwa ni Mtumwa wa Kimwili ingekuwa Rahisi sana Kukukomboa, ila Tatizo lako wewe Ni Mtumwa wa Akili yaani Umefilisika Kimawazo, kwamba kwako wewe dawa ni lazima Zitoke marekani
 
stigma iko wapi hapa? huu ni upupu inashangaza kama viongozi wetu bado hawatambui kuna magonjwa sugu ambayo hayatibiki,leo hii wao ndio wanakua wakwanza kudanganywa na kupotoshwa, huuu ni uzembe.nakuhakikishia kutakuwa na wimbi kubwa la wagonjwa watakaozidiwa kwa kuacha dawa za hospitali.
good one mkuu... but your previous post was more stigmatizing than this analysis
 
Ungekuwa ni Mtumwa wa Kimwili ingekuwa Rahisi sana Kukukomboa, ila Tatizo lako wewe Ni Mtumwa wa Akili yaani Umefilisika Kimawazo, kwamba kwako wewe dawa ni lazima Zitoke marekani
mkuu hata dawa za marekani hutokana na mitishamba kwa hiyo sio issue sana ,lakini kusema hii dawa inatibu magonjwa sugu yote halafu lazima upewe na pastor mwenyewe huku hakuna uthibitisho wa kisayansi wa mtu yoyote aliyepona ni uzezeta usio na kifani katika karne hii ya 21.
 
hakuna ugonjwa usiotibika!ugonjwa uitwao NDUI uliua watu theluthi moja duniani hatimae chanjo ikapatikana angalia kwenye bega lako kuna alama kama ya kidonda roundish hiyo ni chanjo ya ndui kila mtanzania anayo!
 
Back
Top Bottom