Na mimi kuanzia leo sipangiwi kitu cha kupost humu maana simu ni yangu, bundle ni langu na hata wakati nanunua nilikwenda dukani mwenyewe na kuchagua aina ya simu nilichagua mwenyewe. Sipangiwi!!!!
Rai mzima kutoa povu chafu namna ile ni kujishusha kusikoelezeka. Unajivua nguo mbele za watu. Kuna tofauti ya kuvuliwa na kujivua nguo mbele ya watu. Chunga sana maneno yakutokayo. Wanafiki wana mwisho mbaya . Uyafanyayo ni maamuzi binafsi yenye mlengo wa upendeleo kiburi majivuni na kila aina ya uhasi (negativity) si ilani ya chama. Utukufu wa Mungu utadhihirika siku moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.