Hata mambo ya msingi tusihoji?

Hata mambo ya msingi tusihoji?

Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu.

Binafsi, niliungana na Rais Dr Magufuli, kusema kuwa haya maneno ya mtandaoni hayatuletei maendeleo.

Kujadili watu , na siasa tunapoteza muda.

Basi, leo Rais ameamua kukata mzizi wa fitina na ushindani kati ya RC na wanaompinga .
Baada ya yeye kusema kuwa watu wafanye kazi na kujadili mambo yenye tija maishani na sio siasa na kujadili watu.
Mwisho, Akasema, RC piga kazi, wewe ni mchapa kazi.

Nami, nasema niko hapa New Zealand napiga kazi tu!

Hivyo, wengine pia, tuachane na ubuyu tupige kazi.
 
a
I call for a whole week zitawale Profile pictures za kuonyesha kutokukubaliana na maamuzi yaliyojitokeza
nzisheni zile hash tag rc anabeba mitutu kutishia raia maofisini kisha kumfurahisha boss wake aliyekuwa anangoja kipindi cha shilawadu....... wale wa kufungua kesi wafungue tafadhali
 
Nahisi kwa wapenda ushilawadu tumeshafahamu kuwa mkulu kaamua kumlinda makonda kwanguvu zake zote na akili zake zote.

Hebu tukutane hapa tushauliane juu la kufanya. Either tukubaliane na matokeo au aluta continua.
Kwa ushahidi alotoa Ruge inatosha kabisa kumfungulia kesi
 
We kura utampa hata hujakatazwa, lakini binafsi never ever siwezi kumpa kura yangu tena bwana huyu, 2020 unasema utampa kura tc okay mind you kuna kifo pia, ugonjwa na mengine mengi usiweke 100% utampa mie sitampa coz hata nikifa kesho kura yangu ntazikwa nayo.
Usijali mkuu, katika uzima kura ipo, Ila ili la Makonda ni Vita hii Mkuu, vita ni vita. Sio rahisi kumtosa dogo kwa wakati huu, mkuu usome mchezo vizuri utaona jambo. Sio ushabiki pekee, Ni kweli dogo amelikoroga lakini huu sio wakati muafaka.
 
Nahisi kwa wapenda ushilawadu tumeshafahamu kuwa mkulu kaamua kumlinda makonda kwanguvu zake zote na akili zake zote.

Hebu tukutane hapa tushauliane juu la kufanya. Either tukubaliane na matokeo au aluta continua.


Wewe Rais, amesema Makonda apige kazi na watu wasijadili jina ila maendeleo.
Mfano, uchumi, hospital ,maji n.k.

Ila kwa kifupi, kama una ubavu andamana kwa nini utumie jukwaa kama hili?

Unaoogopaaaa eeeh teeeh teeeh teeeh haaa haaa

😀😀😛😛😛😛😀🙂🙂🙂
 
Kwan nyie mnatakaje yani?? Mtimue makonda? Kwa kisa kipi haswa? Chaaaaaaa
 
Pole zenu. Hebu tuacheni tufanye kazi sasa. Mnatumia nguvu kuuubwa na muda mwiiingi kwa vitu vya kipuuzi! Rudini sasa mkachape kazi sasa Umbea una wenyewe!
 
Raisi Magufuli kumkingia kifua Daudi Bashite maarufu kama Paul Makonda si sahihi anatuhuma anatakiwa azijibu kusema tu ni mambo ya mitandao sio sahihi.
 
Back
Top Bottom