Nimesikiliza JPM leo katika uzinduzi wa fly over ubungo, anadai ye ni raisi anayejiamini, fomu alienda kuchukua mwenyewe na hawezi kupangiwa nini cha kufanya, swali langu kwake ni je hizo kura alijipigia yeye akawa raisi, kwanini watanzania kama kuna uonevu asiwasikilize, nahisi kuna viongozi wanaodhani wataishi milele nawakumbusha KIFO kipo, ujuaji mwisho wake ni aibu....ngoja tuone hata huyo unayemkingia kifua mwisho wake utakuaje.....wangapi wamefukuzwa kazi na kuachishwa masomo kisa hawana vyeti leo hii raisi ndio angeuka anakuwa mtetezi wa swala hili kwa mtu ambae hana vyeti.....daaaaah
Hapa inabidi turudi kwenye uchaguzi tu hakuna namna, tulikosea sana kumpa nchi mtu huyu.....sasa anaendesha kama familiawaachie wenyewe na nchi yao
Ye kajuaje kama tunashinda mitandaon kama nae hashindi kusoma kinachoandikwa mitandaon kweli nyani hajion malinda yakeamesema tunashinda mitandaoni kupost umbea ,ila wambea wakubwa ni wale wanaopenda SHILAWADU
Nimesikiliza JPM leo katika uzinduzi wa fly over ubungo, anadai ye ni raisi anayejiamini, fomu alienda kuchukua mwenyewe na hawezi kupangiwa nini cha kufanya, swali langu kwake ni je hizo kura alijipigia yeye akawa raisi, kwanini watanzania kama kuna uonevu asiwasikilize, nahisi kuna viongozi wanaodhani wataishi milele nawakumbusha KIFO kipo, ujuaji mwisho wake ni aibu....ngoja tuone hata huyo unayemkingia kifua mwisho wake utakuaje.....wangapi wamefukuzwa kazi na kuachishwa masomo kisa hawana vyeti leo hii raisi ndio angeuka anakuwa mtetezi wa swala hili kwa mtu ambae hana vyeti.....daaaaah
Bwana yule hawezi kuwa na akiba ya maneno daima, anendesha nchi kama anaendesha familia yake....anavimbishia misuli wapiga kura wake kashasahau kama alikua anapiga hadi magoti kuomba kura....hakika madaraka ni kileviajifunze kuweka akiba ya maneno
hebu weka hicho kifungu, wengine katiba hatuifahamuNimeipenda hiyo ya kusema HAWEZI KUPANGIWA NINI CHA KUFANYA!
Akasome Ibara ya 4 ya Katiba. Hiyo hiyo iliyopo.