Hata mambo ya msingi tusihoji?

Hata mambo ya msingi tusihoji?

Katika nchi yetu hii tulishajijengea utamaduni wa kukosa na kukosolewa, hii ni kitokana na ukweli kuwa hakuna binadamu ambaye yupo sahihi kwa asilimia 100, inasikitisha sana kuona kuwa kuna juhudi za maksudi za kukingiana kifua kwa baadhi ya viongozi na kunawengine huku wengine wakiandamwa, kudhalilishwa na hata kuwekwa kizuizini. Sina uhakika kama hii ndiyo ile Tanzania ya Mwalimu Nyerere. Hii ni kitu kingine. Inasikitisha sana.
Wewe acha ujinga,
tambua kuna ruled na rulling classes
Ruled class wakikosea tuna watumbua but
Rulers wakikosea tuna wapromote
Siku zote sheria inawatawala maskini na ndio waliojaa jela ila wenye fedha wanapanda juu ya sheria
 
images
 
Nilikuwa nasikia tu Mtu kajitoa muhanga na mabomuu...!! Ilaa feeling alizonipa Mkulu nimeona kumbee inawezekanaa kabisaa...
 
Bwana yule hawezi kuwa na akiba ya maneno daima, anendesha nchi kama anaendesha familia yake....anavimbishia misuli wapiga kura wake kashasahau kama alikua anapiga hadi magoti kuomba kura....hakika madaraka ni kilevi
alipiga push up kuomba kura .. time will tell
 
Hapa inabidi turudi kwenye uchaguzi tu hakuna namna, tulikosea sana kumpa nchi mtu huyu.....sasa anaendesha kama familia
Ulimpigia Kura? wanaoendelea kulalamika ni wale wale ambao hawakumpigia kura.Come 2020 kura tutampa.
 
nawaonea huruma sana wana ccm maana wanapata uchungu mara mbili.....HAHAAAAAAA
 
Kichwa kinaniuma ile mbaya juu ya huyu mtu anayekingiwa kifua, nilimpenda mwanzo na kuhisi anaonewa juu ya maneno yaliyokua yanasambaa mitandaoni but for this time, kwa kuvamia clouds media kimenifanya kuogopa na kuona kua sasa kuna balaa zito juu ya wanyonge na wenye kujitafutia riziki, why mh,Rais anamtetea na kudharau yale aliyofanya!?
Yanayosemwa yapo, kama hayapo ipo siku yataonekana...kuna kitu kinaendelea kati ya mkuu na mteule wake.
 
Hakuna cha kufanya sasa zaidi ya kulaumu huyu jamaaa Daudi bashite ni mwiba
 
Ulimpigia Kura? wanaoendelea kulalamika ni wale wale ambao hawakumpigia kura.Come 2020 kura tutampa.
We kura utampa hata hujakatazwa, lakini binafsi never ever siwezi kumpa kura yangu tena bwana huyu, 2020 unasema utampa kura tc okay mind you kuna kifo pia, ugonjwa na mengine mengi usiweke 100% utampa mie sitampa coz hata nikifa kesho kura yangu ntazikwa nayo.
 
Back
Top Bottom