Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 864
- 1,818
Sikuwa na habari yeyote asubuhi ya leo nikaelekea zangu shamba nimerudi na kuamua kupitia habari za hapa na pale.
Katika habari zote nimekutana na hii ya marehemu sam, dah imeni huzunisha sana tofauti na msiba uliopo kwa jirani yetu nimejiuliza au kwa vile Sam ni msanii anae fahamika? Lakini mbona hata jirani yangu hapa sadiki kijana mwenzangu mwenye ndoto zake nilikua namfahamu?
Laah haulah haina budi ya kupata majibu ya maswali hayo.
Kuliko kuacha kufuata Yale tunayo ambiwa nisahihi huko tuendako na kukuta yapo, Ni bora kutenda Yale tunayo ambiwa ni sahihi huko tuendako na kukuta hayapo.
JAMIIFORUM GREAT THINKERS.